kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  2. Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  3. Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

    Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
  4. Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  5. C

    Anayehitaji kujenga kwa gharama nafuu na kitaalamu bila kuibiwa naandaa BOQ/ makadirio kwa gharama nafuu

    Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi . Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
  6. Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  7. Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  8. Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
  9. Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  10. I

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  11. Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  12. Aga Khan kujenga kituo cha Saratani kwa Billioni 13.8 jijini Dar es Salaam

    HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza. Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
  13. Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
  14. Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  15. Kampuni za kujenga kwa mkataba!

    Hizi kweli ziko genuine, wabongo tunajuana unaoneshwa ramani kali, jengo ghorofa kila kitu wanasema hela ndogooo how come, tupeane uzoefu.
  16. Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  17. Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  18. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  19. M

    Je, ni salama kujenga karibu na mgodi?

    Habari wakuu, Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa chini. Kama ni kweli kushachimbwa chini kwa chini je ni salama kujenga nyumba kwenye ardhi tabaka...
  20. Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

    Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo. Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…