Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake.
Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!?
Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.