TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"
Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza
Nini maoni yako?
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/