Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Wamekalia umbea tu na majungu,,muda wa kujifunza lugha hawana.
Ila angeongea tu kiswahili, angejitokeza mtu amtafsirie.
Kiukweli kiingereza ni tatizo kwa asilimia kubwa ya sisi Watanzania.