TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
- #81
Unauliza bangi kanda maalum?Watu walisharuka ukuta?
Unauliza bangi kanda maalum?Watu walisharuka ukuta?
Components of the alankaid haradaiz.Jiwe alikua anajitahidi anaongea cha kikemia...
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"
Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza
Nini maoni yako?
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/
😎😎Components of the alankaid haradaiz.
Morning speech will be from KalpanaMake sure you cut off ur nails
Ni kweli kabisa Kigogo ila binafsi,aina hizi za wanawake hua sijui hua nawachukulia vipi? Mbwembwe kibao na kumbe empty headed........ Kwani angejieleza Kiswahili tu,angenyongwa? Nafuatilia sana kipindi fulani hivi kinarushwa ITV kinaitwa DW Afirmax,Kuna pisi kule za mataifa makubwa tu lakini hata How are you hawajuiHautakiwi kuwapinga mkuu, bali unatakiwa kuwatafuna😂
Kalpana umemuona wizo wako ana makebo makubwa lakini hajui English!
Mama Samia anaongea kiingereza kilichonyooka.Umewahi msikia huyo 'mama yako' akiwa anapiga ngeli?😂
Ishu sio ukalimani haya ndio matokeo ya kuwapa watu umaarufu kwa mambo ya kijinga.Angeenda na mkalimani, sio kosa kutojua kingereza.
Huyu ndiye mke wa Manara?Celebrity wa Manara
It's not that hard; we've been taught a language we hardly use. We read, write in English but rarely do we coordinate our thoughts with speech.The English Is Very The Hard
Mfumo wenu si ndiyo umewapaishaIshu sio ukalimani haya ndio matokeo ya kuwapa watu umaarufu kwa mambo ya kijinga.
Mtu ukiwa na makebo makubwa tu tayari celebrity , haya sasa tunaumbuka kweupe kama hivyo.
Mtu kama huyo anaweza kukudhalilisha kumbe hata kuongea kingereza hajui.