Hahahahaha😂Nchi nyingi huwa wanafikiri Watanzania wanafahamu Kingereza 😁
Kwa kweli amejijengea ufalme kwenye hilo eneo.Ras Simba yupo vizuri sana alianza utani utani tu nimeshangaa mpaka mikoani yupo bhana.
Mbombo ngafu😂Aiseeeee
Make sure you attend paradetomorrow is thursday come clean....🤣
Make sure you cut off ur nailsMake sure you attend parade
And your teeth cleanMake you cut off ur nails...
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"
Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza
Nini maoni yako?
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/
Hautakiwi kuwapinga mkuu, bali unatakiwa kuwatafuna😂Mbona hakuna ajabu hapo.... Kwani lazima ajieleze kwa lugha ya Kigheni? Japo napinga sana hawa nyumbu kupata umaarufu coz of mionekano yao
Kai let down nchi😂Ametuabisha hilo li mama limesema TANZANIA!!
Sasa hivi watu wanaangalia zaisi HARDWARE mkuu, hawana muda wa kuhangaika na SOFTWARE.Ila haya mambo haya.....
Zamani fursa kama hizi walipewa warembo walioenda vidato sijui imekuaje siku hizi!!!!.
Sana yaani!Wazee Ivonne bado mzuri aseeh alijua kujitunza sana bibi yake secretarybird maman mbilia mikorogo nayo hakuiacha nyuma
Watu walisharuka ukuta?Kichwa maji. Kasi kuliwa kisamvu tu