Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Acheni kumponda wangu
Ung'eng'eFamchezo nini...
Daslamu njoo na akili zako tu😄Daslamu kuna fursa za ajabu ajabu kweli
Mimi naona asingekwenda kabisa. Labda kama wanaangalia mwonekano wa nje tu bila kuzingatia uwezo wake kiakili pamoja stadi nyingine kama ufasaha wa lughaHahahahaha😂😂
Ila mimi naona angeenda tu na mkalimani, sio kesi.
Angeenda tu na mkalimani, hapo ndo kazingua!Acheni kumponda wangu
Kwani kujua lugha ya kingereza ni kipimo cha akili mkuu?Mimi naona asingekwenda kabisa. Labda kama wanaangalia mwonekano wa nje tu bila kuzingatia uwezo wake kiakili pamoja stadi nyingine kama ufasaha wa lugha
We kuwezaaa?.😅😅😅Famasiala nini!, mrembo ndo hivyo tena eti kashindwa kusema "nimedhaminiwa na serikali ya mama mpaka kufika hapa" kwa kiingereza.
Ngeli😄Ung'eng'e
Kwa kweliKuuza nyapu😂
Ung'eng'e ukipotea unakua kama unatafuna barafu..Ung'eng'e
Angepiga, "Senkyuu mama Samia, vere machi for sponsor, five again!"We kuwezaaa?.😅😅😅
Kwakweli mambo yasiwe mengiAngepiga, "Senkyuu mama Samia, gere machi for sponsor, five again!"
Si angeenda kwa Ras Simba?😄Manara kamtoa Tandika sokoni hicho kiingereza kajifunzia wapi
Ila mtani😂Ung'eng'e ukipotea unakua kama unatafuna barafu..
Kujua Kingereza ni kipimo cha akili mkuu?Walivoona mweupe wakadhani anajua kiingereza, kumbe manzi kichwani ndo mweupe zaidi 😂
Unabaki Kusema You Know Kama Jiwe VileUng'eng'e ukipotea unakua kama unatafuna barafu..
Hahahahaha😂😂Ung'eng'e ukipotea unakua kama unatafuna barafu..
Mambo ni mengi mtani...😆Ila mtani😂