Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

Mfumo wenu si ndiyo umewapaisha
Sasa huyu usanii kaanza lini
Tatizo tz 97% ya wadangaji ndiyo wasanii
Mwisho wa siku wakienda kwenye hafla,mikutano mikubwa wanaumbuka
Alichoulizwa hapo hakuna msanii wenu au hao ma top
Mnao waona wangeeeza kujibu
Sasa huyo chakachaka aende kenya au rwanda
Atakutana na mambo tofauti

Ova
Hizi lawama mnatupa bure maana huko insta waitingisha makalio mnawashangilia.

Hao ni watu mliowatengeneza wenyewe.
 
Hizi lawama mnatupa bure maana huko insta waitingisha makalio mnawashangilia.

Hao ni watu mliowatengeneza wenyewe.
Hao,na wakina mobeto si mliwapeleka na kuwakaribisha mjengoni dom šŸ˜„
Aise,kweli sahv ukishakuwa na kalio kubwa basi umetoboa

Ova
 
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.

Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"

Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza

Nini maoni yako?

Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/

Kwani kuzungumza kingereza ni big deal ?
Kutokujua lugha fulani siyo kosa labda kama awe alisema mwenyewe kuwa anaweza kuongea kingereza.
 
Back
Top Bottom