kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda

    Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda. Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi naye tena. Baada ya kuandika barua hiyo, aliiweka juu ya meza ya chumbani kisha akaingia chini ya...
  2. B

    Dkt. Mpango, Watanzania wana haki ya kujua viongozi wao walipo na wanachofanya

    Habari wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi karibuni kumezuka taharuki ambayo haikuwa na sababu ya msingi, juu ya wapi alipo Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango. Makamu huyu alikuwa hajaonekana hadharani kwa takribani mwezi mzima kwa mujibu ya vyanzo vya habari ikiwamo...
  3. Naomba kujua Jinsi Toyota Alphard Hybrid inavyofanya kazi na Ubora wake

    1. Je, ni full hybrid? 2. Inaweza kutembea kwa betri engine ikiwa iimezima. 3. Fuel conception ikoje.
  4. Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  5. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  6. C

    Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

    Wasalaam wana jamvi Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara. Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa. Asanteni.
  7. R

    Naomba kujua sentensi hii ina makosa/kosa gani la kiingereza

    A thorough perusal of the Notice of Motion and the averments in the affidavit, two major grounds on which the application is based clearly comes out.
  8. Mwenye kujua kampuni gani nzuri ya jiko la gesi+umeme plet 4/6

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA)...
  9. Tuna washauri wangapi wa kimataifa kwenye uchumi? Mwenye kujua anijuze tafadhali

    Kama swali linavyo uliza hapo juu. Ningependa kufahamishwa taifa letu lina washauri wangapi wa kimataifa katika uchumi na kutoka nchi gani? Mwenye kujua anijuze tafadhari.
  10. Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

    MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua? WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’ MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu...
  11. Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Mambo mengi sana yamezungumzwa kuhusu mapenzi na ndoa kwa ujumla. Hata hili ninaloandika ni kama kukazia tu. Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema ni kuwa mwanaume yeyote kama kichwa cha familia ndo huamua familia yake iweje. Mwanaume ndo kabeba taswira nzima ya familia yake. Mimi leo...
  12. Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  13. Siri ya Jumapili, Waweza kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume kwa kuangalia vidole pekee, vidole vinaeleza mengi

    Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono...
  14. L

    Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  15. Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  16. Sehemu gani naweza kununua pikipiki aina ya yamaha Mwanza?

    Wakuu salama? Naomba kujua chimbo gani zuri naweza kupata pikipiki aina ya YAMAHA mkoa wa Mwanza. Nijue pia bei ya Pikipiki mpya na used. Nikipata mawasiliano ya muuzaji nitashukuru zaidi. Karibuni wakuu
  17. Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

    Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya...
  18. Kwanini mnawaacha watu wafikishe miaka 30 bila kujua kusoma?

    .
  19. Ukitaka kujua mwanamke wako anachepuka tazama Miamala

    Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo. Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako...
  20. Nifanyeje ili niweze kujua siku zangu?

    Kwema, Hi babies samahanini sana naombeni msaada ili niweze kujua siku zangu aisee maana hazieleweki aisee Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujua siku zangu zangu aisee kwa maana sikudhani za period au bleed nimesahau wakuu huu mwezu nimepita bila kuona damu zangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…