Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex.
Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke.
Hii hali naona kabisa inanitesa kiafya mwili wangu naona unadhoofika.
Kwahiyo anayejua dawa ya kupunguza hamu ya tendo...
Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu.
Kwani ibada ya sanamu nini?
Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini?
Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
Kama mwanamke anapika chakula anajaza chumvi nyingi kwenye mboga basi kuna uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo akawa na akili ndogo ama hana akili kabisa.
Na kama chumvi inayo tumika ni chumvi hii ya kemikali ( ya dukani) basi uwezekano wa mwanamke huyo kutokuwa na akili unakuwa Mara dufu...
Wakuu habarini
Nimetumia WhatsApp Gb muda mrefu sasa. Moja ya simu yangu imeomba nitafute official app kwenye playstore. Kabla ya hapo WhatsApp gb nilipatika kwa kudowload through akp kwenye search engine particularly chrome
Je, ninkwamba gb whatsapp inatuagaaga au? Wajuzi msaada hapo?
Wakuu Habari za uzima?
Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa.
Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama silaha au walikosa Elimu ya vita?
Wana Historia mtupe madini.
Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa,
1. Wanachama mpka sasa ni wangapi?
2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors.
3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya...
Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali.
Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck.
Huwa unatumia mbinu gani...
Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote.
Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
MBUNGE NORAH MZERU ATAKA KUJUA HATMA YA ZAHANATI YA KATA YA MAFISA MKOANI MOROGORO
"Je, lini Serikali itamalizia ujenzi wa Zahanati ya Uwanja wa Ndege katika Kata ya Mafisa Mkoani Morogoro?" - Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro
"Katika kusogeza huduma za afya kwa...
Mzuka wanajamvi.
Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.
Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti...
- Kuna watu hata wateswe mara ngapi na mapenzi, hata waachwe mara ngapi, wao kila siku wanapenda tena watu wapya.
- Kuna wengine, hawawezi kuishi bila kufanya mapenzi na (hawajaoa wala kuolewa).
- Wengine kuwa na mpenzi mmoja tu hawawezi, yaani mpaka awe na wengi ndIo anajskia yupo kwenye...
Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli.
Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile.
Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela).
Si...
Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara.
Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani
Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
Wakuu habari za asubuhi?
Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye.
Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana
Tuntufye ni - tumsifu😀
Gwamaka- mwenye nguvu
Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.