kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aramun

    Kaka na Dada wawa Wapenzi bila kujua huko Kenya, mama yao awaunga mkono

    Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana. Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao. Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano. Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
  2. MOSHI UFUNDI

    Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
  3. Pua ya zege

    Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  4. W

    Naomba kujua square meter ajili ya tiles za ukutani

  5. M

    Naomba kujua, tiles zipi Bora 50*50, 60*60, 40*40

    Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30 Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi. 50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60 Za 40*40 hizi box moja...
  6. MINING GEOLOGY IT

    Kwenye uchimbaji ni lazima kujua jiolojia ya kina cha miamba kwenye upatikanaji wa madini

    Kwa nini tunataka ili? Ndio, katika uchimbaji wa madini, uelewa wa jiolojia ya kina cha miamba ni muhimu sana. Jiolojia ya kina cha miamba inaweza kusaidia katika kutambua maeneo yenye uwezekano mkubwa wa kupatikana kwa madini, kuelewa muundo wa miamba, na kubaini mifumo ya matabaka yenye...
  7. Kibra49

    Naomba kujua kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji, ukiacha kampuni ya watu credit

    Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji hapa Dar es Salaam.
  8. Mr Q

    Watanzania wa Matukio. Hawataki kujua sokoine alikufaje kwanini ndugu waliomba afanyiwe postmortem?

    Wapo kuhangaika na kauli ya spinning doctor makonda. Wapo bize kutaka kuwafahamu hao mawaziri Hawakumbuki chozi la mwanae sokoine alipo kuwa akisoma historia. Hawataki kujua limebeba ujumbe gani? Kwa hili igizo la makonda limeondoa maana yote ya siku ya kumbukizi marehemu sokoine. Na kwa...
  9. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

    Yaani una Job na Fred halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
  10. GENTAMYCINE

    Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge furaha matondo ataka kujua ni lini Bima ya Afya kwa wote kuanza

    Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa. Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
  12. GENTAMYCINE

    Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  13. M

    Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  14. Kasiano Muyenzi

    Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  15. Ncha Kali

    Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  16. P

    Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! 😄, kila la kheri!
  17. Wakuperuzi

    Nijuzeni kuhusu snapchart

    Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
  18. Dumuzii

    Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  19. Namche Bazar

    Namna ya kujua Square meters za eneo

    Heshima kwenu wana jamvi. Kuna jamaa aliniuzia eneo. Baada ya muda kupita bila mimi kwenda kutembelea eneo nahisi atakuwa amebadilisha mipaka ya eneo. Naomba mtu anayejua jumla ya hivyo vipimo ambayo vipo kwenye mita je ni jumla ni square meters ngapi kwa eneo langu lote.?? Nataka...
  20. D

    Naomba kujua bei ya pumba huko uliko

    Asalaam, Well, mimi ni mfanyabiashara ambaye nina milling machine nyingi kiasi. Sasa saivi natafuta masoko ya pumba sehemu mbalimbali nchini. Nisaidieni wafugaji kuniambia bei za pumba huko kwenu inafikia kiasi gani nione kama kuna uwezo wa kufanya business expansion kidogo. Natanguliza...
Back
Top Bottom