Habari wanaJamiiForums!
Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria.
Natanguliza shukrani
Wadau mambo ni gani aseee?
Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.
Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...
Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
Kwanini unchallenge mtu wa rais?
Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi.
Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
Maisha haya tabu tupu.
Kuna binti mmoja anafanya kazi hoteli fln hapo mlimani. Huyu nilimuona mara moja tu nikamtamani, baada ya kunihudumia nikamuachia tip nzuri tu na wala sikuchukua namba sababu ndo nnavyowatega warembo wa aina hio.
Sasa kumbe binti kanikariri, 1 week ikapita nikarudi tena...
Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi.
Karibuni wenye ueledi juu ya hili
Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena..
Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati...
Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa
Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani .
Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)
Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.
Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake, wengi wao hutumia kumdhalilisha mwanaume hadharani, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia...
Habari za asubuhi,
Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee..
So ili niache Kwa amani...
Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu.
mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu.
ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje
mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.