kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.
Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.
TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.
Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)