Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

Kuahirisha derby ilikuwa ni dharau kubwa Kwa mashabiki. walituona sisi ni takataka, hatuwezi kufanya lolote. Ili kurejesha heshima ya mashabiki, hyo derby haipaswi kuchezwa tena
Sio kwa mashabiki tu bali hata kwa wadhamini wa ligi, NBC, Azam media na TBC pamoja na wafanyabiashara ambao walijiandaa kuuza siku ya mechi. Sasa Azam anaogopa kufanya matangazo ya mechi ya trh 15 June, maana hana uhakika kama mechi itakuwepo. Hata mashabiki hawana tena uhakika na mechi za Simba na Yanga.
 
Kamuulize kamishina wa uwanja, yeye ndo anajua hilo.
Toa vedio ya hao mabaunsa tuone walivyomudu kuwazuia Simba wasiingie. Je, mabaunsa hao walikuwa na silaha Gani? Na je, uwanja wa serikali unalindwa na mabaunsa wa Yanga? Uharo
 
Toa vedio ya hao mabaunsa tuone walivyomudu kuwazuia Simba wasiingie. Je, mabaunsa hao walikuwa na silaha Gani? Na je, uwanja wa serikali unalindwa na mabaunsa wa Yanga? Uharo
Utajijuuu. 😂😂😂😂
 
Kumbe TCRA kwenye WhatsApp hawagusi kabisaa? Ahsante kwa kunisanua.
Wasap Ina security kubwa, hawawezi kutrack maongezi, picha, vudeo Wala message. Hata watumishi wa serikali Dili wanaongelea wasap,
 
Namhurumia KARIA ni kama hajui vizuri uzito wa hawa mapacha wawili wa kariakoo katika serikali yetu.
 
Wasap Ina security kubwa, hawawezi kutrack maongezi, picha, vudeo Wala message. Hata watumishi wa serikali Dili wanaongelea wasap,
Jambo kama hilo wamepigiana cm bhana tusijifariji kuwa walitumia WhatsApp kwenye mipangoovu yao. TCRA waombwe watoe conversations ya kilichotokea.
 
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.

Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.

TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.

Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Viongozi wengi wa kitanzania ni wapumbavu sana. Akisha kuwa na madaraka, huchukulia kuwa yukp juu ya kila kitu na anaweza kujiamlia lolote. Tatazio lilianzia kwenye sentiment huyo.
 
Viongozi wengi wa kitanzania ni wapumbavu sana. Akisha kuwa na madaraka, huchukulia kuwa yukp juu ya kila kitu na anaweza kujiamlia lolote. Tatazio lilianzia kwenye sentiment huyo.
Kakaaa!!! Kutokana na idadi na aina ya wadau wa Simba na Yanga Anaeweza kusogeza muda wa mechi ya derby ya simba na Yanga hata kwa saa Moja tu mbele ni kigogo kwelikweli, haiwezi kuwa bodi ya ligi tu hata kwa bahati mbaya.
 
Derby ilihairishwa na Bodi ya ligi, sababu ni Yanga kutumia wavuta bange wao kuzuia timu bora ya Simba Sports Club wasijiandae na mchezo.

Tarehe 15 mlete timu, visingizio vya kijinga hatutaki
 
Derby ilihairishwa na Bodi ya ligi, sababu ni Yanga kutumia wavuta bange wao kuzuia timu bora ya Simba Sports Club wasijiandae na mchezo.

Tarehe 15 mlete timu, visingizio vya kijinga hatutaki
Banghe ndiyo hii ya kwako kama hujui. Uwanja wa Mkapa ni mali serikali ya Tanzania, umejengwa, kukarabatiwa na kulindwa na serikali yenyewe, na hata vibali vya matumizi na namna ya kuutumia vinatolewa na serikali. Ni baunsa gani ana nguvu zaidi ya zile za serikali? Acheni kutoa hoja za kipuuzi kwenye jambo lililoaffect watu wengi sana.
 
Derby haihairishwi kizembe TFF na bodi walitaka kutapeli mashabiki. Hii liwe funzo kubwa kwao
Mlivyo hairisha kisa mabadiliko ya muda mmesahau?? Au kwa sasa nan amesababisha derby isiwepo? Haya turud kwa CAS kwan waliwaambia nin?
Sema mnaleta chokochoko kwa tff sababu mnaona mnawamudu, lakin kimataifa hamjawah kuwa na historia yabkushinda case yoyote.

Hivyo msipende kuonekana akili hazimo kweli, kataa neno nyuma mwiko kataa neno utopole.
 
Yanganization vs Simbalization = Uhunimation
 
Narudia hatuchezi Simba wapewe point zao 3 na magoli, yanga tumekubali kushindwa nani ahangaike na mpanzu sahii Aziz k kaondoka
Simba wanaomba Mungu Yanga isipekeke timu siku iyo waambulie chochote kitu. Kutoka treble hadi zero.

Katika harakati za kuifanya mechi ya Simba vs Berkane ichezwe uwanja wa Mkapa nilijifumza mengi kuhusu Simba. Ndiyo maana Sasa hivi napunguza kumlaumu sana bodi ya ligi kwenye hili na hata wao hawaoni sababu ya kujiuzulu Wala kutoa maelezo juu ya nini kilisababisha iahirishwe
 
Mkuu fatilia vizuri hilo sakata ile mechi ilifanyiwa figisufigisu ili samia awepo uwanjani wakati hata bila yeye mechi ingeendelea vizuri tu. Timu ilienda uwanjani kama kawa 5imba wakaingia mitini kama kawaida yao.

Bodi inatumika kisiasa. 5imba mnapenda masuala ya historia na tumewaambia na nyingi mnabumba sana. HATUCHEZI
Mlivyo hairisha kisa mabadiliko ya muda mmesahau?? Au kwa sasa nan amesababisha derby isiwepo? Haya turud kwa CAS kwan waliwaambia nin?
Sema mnaleta chokochoko kwa tff sababu mnaona mnawamudu, lakin kimataifa hamjawah kuwa na historia yabkushinda case yoyote.

Hivyo msipende kuonekana akili hazimo kweli, kataa neno nyuma mwiko kataa neno utopole.
 
Chanzo cha haya yote ni ccm kupitia TISS. Itakumbukwa mechi ilipoahirishwa mama alikuwa mwanza lisu alikuwa mlimani City kutangaza no reforms no election.
Mechi iliahirishwaa kufanya lisu asisikilizwe.
Ccm ni chama cha wapumbavu sana
Mechi ingechezwa Lissu asingesikilizwa.
 
Back
Top Bottom