Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

Michezo ni uchumi, furaha na usalama wa nchi, kama technology serikali haiwezi kunyamaza kimya kabisa katika kuboresha. Kama hakuna Simba na Yanga kwa pamoja kwa wakati mmoja hakuna wawekezaji wataweka fedha zao kwenye timu yooooyoooote ya mpira hapa nchini. Maana hata yule anaeidhamini timu ndogo kama JKT au Kagera sugar anatarajia kupata faida pale timu hiyo itakapocheza na Simba au Yanga.
Chanzo cha haya yote ni ccm kupitia TISS. Itakumbukwa mechi ilipoahirishwa mama alikuwa mwanza lisu alikuwa mlimani City kutangaza no reforms no election.
Mechi iliahirishwaa kufanya lisu asisikilizwe.
Ccm ni chama cha wapumbavu sana
 
Lema alizilaumu Simba na Yanga kuacha kuungana na chadema kudai mabadiliko, je hakuna uhusiano na kuahirisha derby? Kwanini chadema wote hata Lissu wanakasirishwa na goli la Mama kwa Simba na Yanga? Kama utaunganisha dots unaweza kupata association na kuahirisha derby. Wakijua kuwa vurugu lazima itatokea na watu watatusa kwenda kwenye mpira wa miguu na hivyo kuharibu mashindano yanayompa sifa kubwa Mama kuandaa mashindano ya CAF nchini.
 
Sasa wewe unaleta ujinga.

Serikali iko bize na Gwajimanaizesheni wewe unaipelekea Utopolo.

Serikali na mambo ya soka wapi na wapi?

Kwani CAS, chombo cha mwisho kabisa kwenye soka hakijawaambia. Viongozi wenu walishaambiwq, waulizeni.😎
Tuletee report ya CAS inayosema sababu ya mechi kuahilishwa
 
CAS wanataka ukatie rufaa hukumu ya TFF. Kwakujua hilo TFF hawatoi maelezo Wala hukumu ili Yanga ikose hukumu ya kukatia rufaa CAS. Wamepanga tarehe mpya ya mechi kana vile hakuna jambo bishaniniwa. TFF lazima watagonga mwamba tyuu ambao utaitia hasara kubwa nchi.
 
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.

Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.

TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.

Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Simba wadhibitishe mazoezi ya muda mfupi yangewezaje kuadhiri mchezo na yanga.Ninavyojua simba na yanga hufanya mazoezi ya muda mrefu kabla ya deby.Sasa wanasemaje hawa wapewe points kwa ngoma waliyoweka kwapani?
 
Swali ni moja tu. Hivi Simba kunyimwa kufanya mazoezi Ile siku maamuzi sahihi ilikuwa kugomea mechi. Je sheria na kanuni ndio zinasema hivyo??
Mpaka Sasa hawasemi nani aliwazuia na baada ya kuzuiwa waliomba msaada wapi wawasaidie kuingia uwanjani.
 
Simba wadhibitishe mazoezi ya muda mfupi yangewezaje kuadhiri mchezo na yanga.Ninavyojua simba na yanga hufanya mazoezi ya muda mrefu kabla ya deby.Sasa wanasemaje hawa wapewe points kwa ngoma waliyoweka kwapani?
Isitoshe Simba na Yanga wanaufahamu ule uwanja, sio mgeni kwao ingawa wote sio wa kwao . Ukiangalia sana utagundua kuwa Kuna watu wanamzunguuaka Mama. Nani hajui Simba na Yanga ni nani Tanzania. Nadhani Kuna watu wanahisi serikali Iko karibu na Yanga zaidi kuliko Simba.
 
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.

Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.

TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.

Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
Acheni kuhangaika, si mlijiona mna nguvu za kutunishia misuli TFF? Sasa mnaomba msaada wa serikali wa nini? Mahakama imeshatoa uamuzi, either mcheze au muwe tayari kwa lolote.
 
Kuahirisha derby ilikuwa ni dharau kubwa Kwa mashabiki. walituona sisi ni takataka, hatuwezi kufanya lolote. Ili kurejesha heshima ya mashabiki, hyo derby haipaswi kuchezwa tena
 
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025.

Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama, utulivu na uchumi wa nchi.

TFF wameshindwa kulitatua kwa njia za kimplira wa miguu, hivyo serikali saidieni jambo hili kwa kutumia vyombo vyenu kama TAKUKURU, Polisi na TCRA, maana uhalifu hautokei bali unapangwa kwa masaa, siku, wiki, miezi na hata miaka kadhaa.

Tusisubiri kujenga ukuta kwa zimamoto(reactively)
katika mambo yanayotumika kuwapumbaza vijana wa kitanganyika ni mambo ya Simba na Yanga. Vijana hawajui kuhusu rasilimali za taifa lao.

ni wangapi wameelewa kwa kina kuhusiana na No Reforms, no election?

nayachukia mambo ya Simba na Yanga kwa kweli
 
Swali ni moja tu. Hivi Simba kunyimwa kufanya mazoezi Ile siku maamuzi sahihi ilikuwa kugomea mechi. Je sheria na kanuni ndio zinasema hivyo??
Kwahiyo mabaunsa wa Yanga walifanya vile kwa kutegemea kanuni na sheria juu ya hilo kosa wanalimudu eeeh?

Simba nao wakaamua kuvunja kanuni na sheria kwa kutocheza match, kwa kuwa hawakufanya mazoezi ya mwisho km kanuni na sheria inavyosema.

Ukimwaga mboga, wana mwaga ugali, km mbwai na iwe mbwai.
 
Simba, Bodii ya Ligi na TFF ya Wallace Karia ndiyo wahusika wenyewe.
 
Kwahiyo mabaunsa wa Yanga walifanya vile kwa kutegemea kanuni na sheria juu ya hilo kosa wanalimudu eeeh?

Simba nao wakaamua kuvunja kanuni na sheria kwa kutocheza match, kwa kuwa hawakufanya mazoezi ya mwisho km kanuni na sheria inavyosema.

Ukimwaga mboga, wana mwaga ugali, km mbwai na iwe mbwai.
Uwanja unalindwa na mabaunsa wa Yanga?
 
Acheni kuhangaika, si mlijiona mna nguvu za kutunishia misuli TFF? Sasa mnaomba msaada wa serikali wa nini? Mahakama imeshatoa uamuzi, either mcheze au muwe tayari kwa lolote.
Kaka aliyetoa amri ya kuahirisha Derby alikuwa anajua Yanga itafanya nini baada ya hapo. Walikusudia kumhujumu Rais kuelekea CHAN, AFCON na uchaguzi. Alichosema Godbless Lema kuhusu Simba na Yanga na goli la mama ni mwendelezo wa hujuma hizo. Mama fungua macho.
 
Back
Top Bottom