Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.

Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
 
kwa hiyo gwajima kukemea utekaji na uuaji amemdhihaki mkuu wa nchi yako? kwani huyo mkuu wako alikuwa anahusikaje na utekaji, sisi hatukuona kama anatajwa, walilengwa kikundi cha watu wasiojulikana. umetumwa na huyo mkuu wako uje umuingize kwenye icho kikundi au vipi? usituchafulie Rais, sisi shida yetu sio Rais, ni kikundi cha kihuni kisichojulikana.
 
Wanaotekwa ni vibaraka na makuwadi.

Jina haliendani na matendo
Ungejiita : Mpinga Kristo Anakuja
yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi.
 
umemgusia mamako, ndiye anahusika na kuteka hao vibaraka? kwani hakuna utawala wa sheria awapeleke mahakamani?
Wakati Magufuli akiwaagiza polisi wawanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao mbona hamkumkosoa? Kwani majambazi wauawe bila kufikishwa mahakamani? Majambazi sio raia kwanini wasifikishwe mahakamani?

Kibaraka ni hatari sana kuliko jambazi. Vibaraka wetu ukiwasikia lugha zao ni eti nchi inauzwa kwa waarabu. Mwarabu Gani ana fedha za kununua nchi nzima. Mbona Korea, Kenya , Japan hatusemi zimeuzwa kwa Marekani? Mbona uingereza ndio inaongoza kwa uwekezaji hapa kwetu lakini hatusemi nchi imeuzwa kwa waingereza? Ni upuuzi wa watu tu.
 
Sijaelewa hapo kwenye kumtweza amiri jeshi mkuu.....Gwajima kaongelea watekaji, sasa imehusianaje sasa
Umemsikia wakati akipingana na mama kuhusu neno gwajimanization? Yaani mlimfanya hamnazo.
 
kwa hiyo gwajima kukemea utekaji na uuaji amemdhihaki mkuu wa nchi yako? kwani huyo mkuu wako alikuwa anahusikaje na utekaji, sisi hatukuona kama anatajwa, walilengwa kikundi cha watu wasiojulikana. umetumwa na huyo mkuu wako uje umuingize kwenye icho kikundi au vipi? usituchafulie Rais, sisi shida yetu sio Rais, ni kikundi cha kihuni kisichojulikana.
Yeye anakemea kama nani? Yeye ni mbunge na mjumbe wa CCM, si angetoa hoja zake huko tena kwa uhru kabisa.
 
yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi.
Kama unazo taarifa nyeti zipeleke polisi wazifanyie kazi, au mpe mbunge wako akakisemee au peleka mahakamani, finito.
 
taarifa nyeti? kwamba akili zenu zinaamini watanzania wa kawaida hawajui kuna utekaji na uuaji wakati wanaokota maiti na kina mdude wanatekwa mbele ya macho ya watu? kwa hiyo dhambi za kuua na kuteka wachungaji wakahubirie vilabuni wasizisemee madhabahuni? halafu, kama ninyi ndio washauri wa hii serikali mnaipoteza sana. mshaurini vizuri msimpoteze.
 
Yeye anakemea kama nani? Yeye ni mbunge na mjumbe wa CCM, si angetoa hoja zake huko tena kwa uhru kabisa.
nimeshajua akili ya mtu ninayebishana naye. gwajima ambaye ni askofu, mhubiri wa muda mrefu tu anayehubiri kukemea maovu, unakuja kusema "gwajima anakemea uuaji na utekaji kama nani?, kama mchungaji/askofu na ndio kazi yake. hautaki akemee? kukemea mauaji na utekaji imewauma sana?
 
Wakati Magufuli akiwaagiza polisi wawanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao mbona hamkumkosoa? Kwani majambazi wauawe bila kufikishwa mahakamani? Majambazi sio raia kwanini wasifikishwe mahakamani?

Kibaraka ni hatari sana kuliko jambazi. Vibaraka wetu ukiwasikia lugha zao ni eti nchi inauzwa kwa waarabu. Mwarabu Gani ana fedha za kununua nchi nzima. Mbona Korea, Kenya , Japan hatusemi zimeuzwa kwa Marekani? Mbona uingereza ndio inaongoza kwa uwekezaji hapa kwetu lakini hatusemi nchi imeuzwa kwa waingereza? Ni upuuzi wa watu tu.
imagine, mtu kama wewe si ukute umeajiliwa unakula mshahara wa kodi za watanzania kabisa kwamba unalitumikia taifa, ati, kwa akili ya namna hii.

unauliza kwa nini watu hawakukemea kipindi cha magufuli? kwa hiyo kwa sababu hawakufanya hivyo basi hawatakiwi kuja kukemea tena mbeleni kwa kigezo hicho? ndio akili mlizo nazo hizi kushauri serikali?

unasema wanaokemea uuaji na utekaji ni vibaraka. niwe muwazi, sipendi vibaraka na ninapenda nchi yangu sana, lakini sitaki uuaji na utekaji wa yeyote, wewe unaamini wanaopinga uuaji na utekaji ni vibaraka, huna akili. kuna watu wameathirika na ndugu zao, wewe unaongea hivyo kwa sababu ndugu zako wapo salama, mmeichafua hii nchi hadi imedharaulika hadi UN imeshatoa waraka mnaonekana watekaji na wauaji, mwisho wenu mnaujua wenyewe, Mungu ashughulike na ninyi. mioyo yenu imejaa ushetani na uchafu dhidi ya binadamu wenzenu, basi waacheni wasali ni haki yao ya kikatiba, hata kama hamuupendi ukristo au ulokole.
 
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.

Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
Kwenye mahakama mwizi aweza kuachiwa kwa sababu ushahidi wa jina la mwizi linatofautiana na jina lake halisi.Ushahidi unatakiwa unyoke sio hadidhi za kisiasa
 
yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi

taarifa nyeti? kwamba akili zenu zinaamini watanzania wa kawaida hawajui kuna utekaji na uuaji wakati wanaokota maiti na kina mdude wanatekwa mbele ya macho ya watu? kwa hiyo dhambi za kuua na kuteka wachungaji wakahubirie vilabuni wasizisemee madhabahuni? halafu, kama ninyi ndio washauri wa hii serikali mnaipoteza sana. mshaurini vizuri msimpoteze.
Kuna wakati wananchi lazima wajue kuwa katiba aliyotuachia baba wa taifa hairuhusu raia kumkeli Rais. Ametuachia Katiba ambayo Rais ni Mungu mtu, hasemwi Wala kushitakiwa kwa lolote na chochote. Sasa katiba hii hakuiandika Rais Samia na nyie mnalijua hilo. Katiba aliyotuachia baba wa taifa Rais ni kila kitu na anamteua Kila mtu. Hayo Yako kwenye katiba yetu ya mwka 1977 na yataendelea kuwa hivyo hadi hapo Katia itakaporuhisu raia na maaskofu kumtukana Rais.

Huku kutekana huku, vifungo vya ndani na watu kuikimbia nchi kulikuwapo tangu awamu ya kwanza hadi awamu ya 5, na huenda hii ndio oliyosaidia Tanzania kuwa Geneva of Africa (Rais Clinton, 2007).
 
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.

Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.

Kisheria Kibatala yuko sahihi.

Maandiko yanachosema ndicho mahakama inashughulika nacho.

Mahakamani jina INNOCENT na jina INNOSENT ni vitu viwili tofauti kwa sababu tu ya tofauti kati ya herufi ya C na herufi ya S.

Serikali kama bado inashikilia maamuzi yake inabidi ifanye withdrawal na kuandika barua mpya.

Pure and simple
 
nimeshajua akili ya mtu ninayebishana naye. gwajima ambaye ni askofu, mhubiri wa muda mrefu tu anayehubiri kukemea maovu, unakuja kusema "gwajima anakemea uuaji na utekaji kama nani?, kama mchungaji/askofu na ndio kazi yake. hautaki akemee? kukemea mauaji na utekaji imewauma sana?
Mbona hakemei majambazi waache kuvunja nyumba za watu na majangiri wasiue tembo? Mbona Madada poa wako wengi mitaani lakini hakemei waache ukahaba. Kazi yao wanawashwawashwa tu na Samia
 
Back
Top Bottom