Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

Kama wewe hujatekwa, kuuawa, Wala kutekwa maana yake waliotekwa, kuawa na kubakwa walikuwa na tabia zilizowasababishia watekwe, kuawa na kubakwa. Acha kutembea na wake za watu utabakwa na mwenye mke, acha kudhulumu watu watakuteka, acha kufuga fisi Wala watu utauawa na wananchi wenye hasira Kali.

Hata hivyo, mauaji na utekaji mwingine unafanywa na watu waliotumwa kuichafua nchi ili ionekane haifai kwa wawekezaji, watalii, kupewa misaada na kufanya biashara. Haya yote tunayafahamu.

Tunafahamu pia watekaji na wauaji ni watu wanaotaka kuonyesha kuwa Tanzania sio salama na maisha yao Yako hatarini ili waendelee kupatiwa hadhi ya ukimbizi na kupata faida ya ukimbizi kwenye nchi hizo.

Wengine ni watu wanaotafuta uhalali wa kupewa misaada ya kwenda Ikulu kuonyesha utawala haufai, na hii tunafahamu.
Kwanini uyo mamaenu hakemei kama hausiki
 
Badala ya kumlaumu Nyerere, warioba, butiku, Pius MSEKWA na wenzake kwa kutuandikia Katiba kama hii watu wanahangaika na mtoto wa watu Samia. Acheni upuuzi wenu wa kidini.
Hapo dini imeingiaje, yaani MTU akikosoa ni dini akishangilia ni nini?
 
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.

Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
Alimdhihaki kivipi? Au alidanganya kwamba kuna utekaji ila kumbe haupo?
 
Kwanini uyo mamaenu hakemei kama hausiki
Hakemei kama yupi, magufuli? Kikwete? Mkapa au Nyerere? . Rais ana njia nyingi ZA KUMALIZA MAMBO, KWANI ALIKEMEA UJAMBAZI? Umbona waliokuwa wanateka magari ya abiria wakati huu hakuna?
 
Wakati Magufuli akiwaagiza polisi wawanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao mbona hamkumkosoa? Kwani majambazi wauawe bila kufikishwa mahakamani? Majambazi sio raia kwanini wasifikishwe mahakamani?

Kibaraka ni hatari sana kuliko jambazi. Vibaraka wetu ukiwasikia lugha zao ni eti nchi inauzwa kwa waarabu. Mwarabu Gani ana fedha za kununua nchi nzima. Mbona Korea, Kenya , Japan hatusemi zimeuzwa kwa Marekani? Mbona uingereza ndio inaongoza kwa uwekezaji hapa kwetu lakini hatusemi nchi imeuzwa kwa waingereza? Ni upuuzi wa watu tu.
Wewe ndo utakua mpuuzi wa kwanza af wengine ndo watafuata
 
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.

Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
Yaan ww ungeetolewa msukule na jamhuri Kwa Majin yanywe damu Yako tupate ela tujenge barabara na kuleta maji ,hauna faida wala akili Yako haifanyi kazi,ww ni mzigo Kwa taifa,jamii,kanisan / mskitin,Kwa familia Yako pia
 
Kama wewe hujatekwa, kuuawa, Wala kutekwa maana yake waliotekwa, kuawa na kubakwa walikuwa na tabia zilizowasababishia watekwe, kuawa na kubakwa. Acha kutembea na wake za watu utabakwa na mwenye mke, acha kudhulumu watu watakuteka, acha kufuga fisi Wala watu utauawa na wananchi wenye hasira Kali.

Hata hivyo, mauaji na utekaji mwingine unafanywa na watu waliotumwa kuichafua nchi ili ionekane haifai kwa wawekezaji, watalii, kupewa misaada na kufanya biashara. Haya yote tunayafahamu.

Tunafahamu pia watekaji na wauaji ni watu wanaotaka kuonyesha kuwa Tanzania sio salama na maisha yao Yako hatarini ili waendelee kupatiwa hadhi ya ukimbizi na kupata faida ya ukimbizi kwenye nchi hizo.

Wengine ni watu wanaotafuta uhalali wa kupewa misaada ya kwenda Ikulu kuonyesha utawala haufai, na hii tunafahamu.
Inakuaje hao watekaji hawajawahi kufahamika wala kukamatwa. Vifaa, pesa, magari na uniforms za polisi wanazotumia wanazitoa wapi?
 
Peter Kibatala na wenzake lazima wajue kwamba Katiba (Sheria yetu kuu) imemfanya Rais wa nchi kuwa Mkuu wa nchi mbali ya kuwa kiongozi wa serikali. Rais anateua viongozi wakuu wooooote wa mahakama. Hakuna sheria hapa nchini inayoweza kuruhusu mtu au taasisi kumtukana au kujibizana kihuni na Mkuu wa nchi. Someni katiba kwanza.

Gwajima ni mhalifu kwa mujibu wa Sheria zetu, hivyo huwezi kuleta utetezi mwepesi eti kanisa lilifungwa sio hilo lililosajiliwa. Yaani mbwa aliyekuuma umemuona na ufahamu lakini humpigi kwakuwa tu umechanganya kulitamka vizuri jina la mbwa. Gwajima kama nilivuosema ni mbunge, mjumbe wa NEC ya CCM na mhubiri maarufu, hivyo ni vigumu watu kumfahamu. Kanisa lake ndilo lililosajiliwa hivyo lazima lifungwe lenyewe kama likikosea. Aliyesajiliwa kule sio Gwajima.
Kama Gwajima amevunja katiba/sheria, kwa nini asifunguliwe mashtaka kwa mujibu wa sheria aliyovunja?
 
Yeye haitakiwi kuhukumu, afunge na kuomba kimoyomoyo wanaoua Mungu atajua mwenyewe namna ya kuhukumu. Yeye adili na Mungu na Serikali kupitia polisi, usalama, majeshi, magereza watatumia mahakama, risasi, magereza na kutoza faini kudili na wahalifu. Gwajima wala kanisa lake hawana jukumu la kupambana uhalifu mitaani. Wasshitaki kwa Mungu na Mungu atatenda. Hata kufungwa kanisa lao waende nyumbani wakamshitakie Mungu na Mungu atawaadhibu mwenyewe wote walilolifunga kansa.

Huku kuleta fujo na mbwembwe za mawakili wa kibinadamu kwa kanisa kufungwa ni dalili za kutoamini uwezo wa Mungu kama anaweza. Hawana tofauti na wapagani wasioamini nguvu na uwezo wa Mungu. Wanachosikitia ni idadi ya sadaka zinazopotea kwa kanisa kufungwa.
wewe ni mjinga sana bro, Mungu akusaidie.
 
Yaan ww ungeetolewa msukule na jamhuri Kwa Majin yanywe damu Yako tupate ela tujenge barabara na kuleta maji ,hauna faida wala akili Yako haifanyi kazi,ww ni mzigo Kwa taifa,jamii,kanisan / mskitin,Kwa familia Yako pia
Ndio kusema
Inakuaje hao watekaji hawajawahi kufahamika wala kukamatwa. Vifaa, pesa, magari na uniforms za polisi wanazotumia wanazitoa wapi?

Kwanini uyo mamaenu hakemei kama hausiki
Kama yeye hakemei shitaki kwa Mungu watekaji waende motoni wakifa au Mungu awapige upofu wasione. Dini haina kingine zaidi ya hicho. Shida maaskofu na Masheikh wetu hawaamini kama Mungu anaweza kuwaadhibu au kuwabadilisha watekaji. Ni wapagani pia wanaoongozwa na kukusanya sadaka
 
Niondelee upuuzi nishitaki kwa mungu na kimama chenu nakiona dunian ntakishtakia kikifa
 
Afrika Ina rasilimali nyingi lakini haina technology ya kuivuna na masoko ya haki ya kuiuzia. Ina viongozi wengi vibaraka wa mataifa mengine wanaoingizwa kwa njia kuu nne; demokrasia, mapinduzi, vita ya wenyewe kwa wenyewe na kupandikizwa baada ya kiongozi wa wananchi kuondolewa na mataifa ya nne. Njia zao kuu ni kuwachonganisha wananchi na kiongozi wao mzalendo kwa kutumia vikwazo, propaganda kupitia radio zao za BBC, DW, VOA na France 24, vyama vya upinzani na makanisa/Misikitii.

Kama mm mtu dhaifu najua hili unadhani serikali husika hazijui? Ndio maana Afrika kusikia mtu katekwa, kapigwa, kuawa au kafunguliwa mashitaka yasiyokuwa na kichwa Wala miguu ni jambo la kawaida sana. Ni kweli kabisa Kuna watu waafrika wenzetu wanaotumiwa na nchi za kigeni kutuibia na kuhatarisha usalama wa viongozi waliko madarakani.
 
Limefungiwa kabisa ama Kafungiwa Gwajima?

Aliongea Gwajima ama liliongea kanisa?.

Kisheria tunasoma SAMIA na SAMMIA hawa ni watu wa will tofauti hivyo huwezi kumtia adhabu SAMIA wakati inamuhusu SAMMIA.

Katika muktadha huo Kuna THE GRORY OF CHRIST TANZANIA CHURCH cheti cha usajiri kipo wazi hakuna na halijawahi satirical kanina linaloitea THE GLORY OF CHRIST CHURCH.

Wameapia ku punch legally sababu wamezuia kwa nguvu ya polisi otherwise wasingepeleka kesi mahakamani.
 
Kuna wakati baba mwenye watoto wengi akataka kutuma Juma lakini akaita jina la mtoto wake mwingine ambae hata hayupo pale kabisa. Juma lazima aitike na kwenda alikotumwa kwakuwa anafahamu baba yake kakosea tu kumtaja Athumani ambae hata hayupo pale na wakati mwingi amekwishakufa.

Kanisa kama jengo haliwezi kukosea lenyewe hadi lipewe adhabu. Wanaokosea ni wale waliolisajiri na wanaolitumia. Kufungwa kwa kanisa ni kuzuia waliolisajiri na wanaolitumia kuzuiwa kuingia humo kwa kazi ya kuabudu. Jengo halijafungwa kwa kazi nyingine kama kufugia nguruwe lakini sio kwa kuabudia kwa sababu waliolisajiri na waliokuwa wanaabudu humo walishirikiana kutenda kosa. Waliacha kuabudu wakaaza kufanya kazi za polisi, usalama wa taifa, majeshi na serikali.
 
Kanisa Sio Jengo kanisa ni Taasisi kadome sheria ya asasi za kiraia na kijamii,huna uelewa wowotw kuhusu sheria
 
Sasa kanisa sio kwanini wanasumbua kuja kwenye jengo wasali wakati hawatakiwi kuja? Mungu yuko popote hadi uvunguni mwa vitanda vyao, wasali nyumbani kama kanisa sio jengo. Mungu yuko popote lakini sadaka haitolewi popote, tunalijua hilo.
 
Hujui chochote kuhusu sheria ya asasi za kijamii,sheria imeeleza wazi kasome huta kuja na maswali ya kibajaji
 
Back
Top Bottom