Mbona Peter Kibatala anahangaika kujua jina la mbwa badala ya mbwa mwenyewe aliyewàuma watu?

Acha kuhamisha mada kwa kutumia hoja zinazoegemea kwenye mihemuko.

Kwani madada poa wanaotoa huduma ya kuchua jenitalia za mteja mwenye uhitaji huo baada ya makubaliano huru kuhusu bei ya huduma ya "orgasmic psycho-somatic integration" wanavunja kifungu namba ngapi cha sheria namba ngapi na ya mwaka gani?
Peter Kibatala na wenzake lazima wajue kwamba Katiba (Sheria yetu kuu) imemfanya Rais wa nchi kuwa Mkuu wa nchi mbali ya kuwa kiongozi wa serikali. Rais anateua viongozi wakuu wooooote wa mahakama. Hakuna sheria hapa nchini inayoweza kuruhusu mtu au taasisi kumtukana au kujibizana kihuni na Mkuu wa nchi. Someni katiba kwanza.

Gwajima ni mhalifu kwa mujibu wa Sheria zetu, hivyo huwezi kuleta utetezi mwepesi eti kanisa lilifungwa sio hilo lililosajiliwa. Yaani mbwa aliyekuuma umemuona na ufahamu lakini humpigi kwakuwa tu umechanganya kulitamka vizuri jina la mbwa. Gwajima kama nilivuosema ni mbunge, mjumbe wa NEC ya CCM na mhubiri maarufu, hivyo ni vigumu watu kumfahamu. Kanisa lake ndilo lililosajiliwa hivyo lazima lifungwe lenyewe kama likikosea. Aliyesajiliwa kule sio Gwajima.
 
umemgusia mamako, ndiye anahusika na kuteka hao vibaraka? kwani hakuna utawala wa sheria awapeleke mahakamani?
Itategemea na ukubwa na uhatari wa jambo alilifanya au analiotaka kulifanya. Hata hivyo narudia tena, kama nikigundua wewe umezaa na mke wangu lazima nikuteke, ukitembea na mke wangu lazima nikuteke usiisingizie serikali hapo ni Mimi na hata wewe utajua kuwa ni mimi ila hutawaambia ndugu zako kosa lako
 
siku yako ipo, atakayekuteka sio huyu atekaye mwili, ni yule atekaye roho na kuamua iende motoni au uzimani. kiburi cheni ni kitu kidogo sana mbele za Mungu. I hope unajua hilo.
 
Mungu yupi kaka. Mungu wangu mm ana nguvu sana na anajua yote kuhusu Mimi. Alinijua, ananijua na anajua nitaelekea wapi na lini. Kila mtu atende Yale anaona yatasababishwa asitekwe. Babu yangu alikufa akiwa na miaka 104, anasema haijawahi kushitakiwa Wala kufikishwa polisi kwa kosa lolote, naona ameniambukiza na mm, sijawahi kutekwa Wala kushitakiwa polisi. Kama ng'ombe wangu wakiponyoka na kula shamba la mtu naomba samahani na kusikiliza mwenyewe ataniambia nn, bahati mbaya gari langu likikwaruzana na gari la mwenzangu barabarani nasimama, naegesha pembeni nashuka naenda kuangalia gari la mwenzangu limeumia kiasi Gani, namuomba samahani na tunaelewana namna ya kurekebisha bila ya kuita traffic. Maisha yanasonga.

Kibatala na wegine lazima wajue sheria3hizi lazima zitende sambamba na usalama wa taifa, maendeleo na haki ya umma kwanza kabla ya haki ya mtu mmojammoja.
 
kuna siku utaelewa hiki nilichokwambia, na utakumbuka sana. nakuombea tu rehema kwa Mungu. haujui hata unachoongea na unachoshabikia. hata Yesu ilifika mahali akawaombea watu kwa Mungu kwa sababu hawajui watendalo. wewe mmojawapo. kuna watu wanalia mioyo imeumizwa kwa sababu ya utekaji na uuaji unaoendelea, yeyote anayeshabikia kuteka watu na kuua watu anakunywa kikombe kimoja na muuaji yule yule. gwajima kukemea utekaji na uuaji sio kosa lolote kwa sheria zozote za Tanzania, mnatumia ubabe kwa sababu mna mitutu, mna mabom, wekeni mabom na mitutu mwende bila silaha kama ninyi sio waoga! hata hivyo, vita vyetu sisi si vya damu na nyama, wala hatutapigana na ninyi, ila kikombe mnachoshea na wauaji kuna siku Hakimu wa kweli ataonyesha kwamba hapana mwenye kiburi hata mmoja hapa duniani aliwahi kudumu. ili ijulikane mtawala ni Mungu pekee.
 
Ndugu yangu hakuna mtu anashabikia mateso ya mtu, ila siamini kama watu woooooote wanaopotea ni Serikali inahusika. Lakini siamini pia kuwa watu woooooote wanaotekwa ni watu wazuri hawana makosa yao.

Tukumbishane wenyewe kwa wenyewe kuhusu kutii mamlaka, maana wahenga walisima ,"nyumbani kwa muoga hakukauki kicheko Kila siku na nyumbani kwa shujaa kunaingia vilio Kila siku. Tusije ushujaa wa kipumbavu dhidi ya Dola.
 
hii hoja yota imekuja baada ya wewe kufurahia waumini wengi namna ile kunyimwa haki ya kuabudu pale ubungo. mimi sisali ubungo, ila huwa naheshimu uhuru wa mtu kuabudu. na wananyimwa kwa sababu gwajima alikemea uovu wa kuteka na kuua watu jambo ambalo sio siri hata UN imesema Tanzania kuna mambo kama hayo. mtu awe mwovu au msafu kutekwa sio sahihi kwa sababu kuna mahakama, mpelekeni huko, mnapomuua ni kwamba kiburi chenu kimefika juu na mnaamini ninyi ndio mahakimu wakuu. sote tunapenda nchi, binafsi nampenda samia kuna mengi mazuri amefanya, ila hili la kuzuia watu wasisali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja ni la kulaani kabisa. kwa muunganiko, nalaani kuteka na kuua watu pamoja na hili jipya la kuzuia watu kusali.

mimi ni mkristo, ningekuwa muislam nisingefanya mambo yanayofanya watu waamini nauchukia ukristo, mulilo muislam, samia muislam, ila watendaji wake ili wamfurahishe wanafungia makanisa watu wasisali na wao wamenyamaza kimya as if ndio waliowatuma, hamuoni mnawachafua hao watu? hamuoni mnagawanya nchi? pita kwenye mitandao halafu mjihesabu kati ya wakristo wa madhehebu yote ninyi mnaosapoti mmefikia wangapi? hapo utajua mioyoni mwa watu kuna fikra gani na mnapandikiza chuki kwenye mioyo ya watu. na of course mnafanya hayo mkijua wakristo hawatafanya kitu kwa sababu Biblia inakataza kupigana, msingeweza kufanya hivi kwa waislam, na ndio maana hamjawahi kufungia msikiti hata mmoja pamoja na kuwepo mingi inayohubiri mabaya mengi kwa taifa hili.
 
Shida Iko pale waumini wanaposhangilia kwa vifijo na ndelemo Mchungaji wao anapobishana na Rais wa nchi madhabahuni. Wanajitoa akili na kujivua jukumu la uraia na wajibu wao kama raia. Wanamkana Rais na kumvaa Gwajima kwa kila kitu anachowaamuru kusema na kutamka. Hakuna muumini anaemkumbusha Askofu juu ya hatari anayowasababishia.

Kanisa lile ndio lilisajiliwa serikalini sio Gwajima, kanisa kama jengo haliwezi kukosea hadi lifutiwe usajiri, litafungiwa kwasababu ya watu wanaosali humu kukiuka mashariti. Hivyo kufungwa kanisa ni sahihi kwasababu jwanaosali humo wameshirikiana kufanya kosa,
 
Unadhani wanaingia watanzania wangapi? Mtandaoni ni kujipa false hopes. Gwajima anavunja kanuni za usajiri wa kanisa na waumini wanamsaidia kuzifunja. Labda ajitokeze muumini aseme mm nilimuonya gwajima asimtweze Rais akanishinda na akaamua kutoka nje ya ibada.
 
Baada ya kichapo cha jana kuna atakaejaribu tena kusogelea pale Ubungo maji
 
Shida yao wanamuona Samia kama mwanamke na kusahau kuwa Urais ni taasisi. Wanasahau kuwa Samia yuko pale kwa mujibu wa Katiba hata kama humpendi. Wanasahau kuwa Kuna watu wengi sana ambao wameapa kulinda Katiba, taifa, Rais wa nchi na Amirijeshi Mkuu. Wanachanganya madesa. Mbaya zaidi Katiba hii aliiandika Nyerere na watanganyika wenzake akina PIUS. Sasa wanataka Samia aibadilishe kwa nguvu haraka.

Lawama za Katiba haziwezi kuwa za Samia hata kidogo. Magufuli alitamka wazi kuwa Wacha niitumie Katiba hiihii kunyoosha nchi, siibadili ng'o. Akina gwajima wanataka kusema kuwa wakati wa Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete Magufuli hakuna watu waliokuwa wanaotekwa hata mmoja. Huo ndio upuuzi wenyewe wa kidini na mfumo dume.
 
Shida Iko pale waumini wanaposhangilia kwa vifijo na ndelemo Mchungaji wao anapobishana na Rais wa nchi madhabahuni. Wanajitoa akili na kujivua jukumu la uraia na wajibu wao kama raia. Wanamkana Rais na kumvaa Gwajima kwa kila kitu anachowaamuru kusema na kutamka. Hakuna muumini anaemkumbusha Askofu juu ya hatari anayowasababishia.

Kanisa lile ndio lilisajiliwa serikalini sio Gwajima, kanisa kama jengo haliwezi kukosea hadi lifutiwe usajiri, litafungiwa kwasababu ya watu wanaosali humu kukiuka mashariti. Hivyo kufungwa kanisa ni sahihi kwasababu jwanaosali humo wameshirikiana kufanya kosa,
hivi huyo rais wewe ni mungu wako? kwamba huwa hakosei na hastahili kukosolewa?
 
Unadhani wanaingia watanzania wangapi? Mtandaoni ni kujipa false hopes. Gwajima anavunja kanuni za usajiri wa kanisa na waumini wanamsaidia kuzifunja. Labda ajitokeze muumini aseme mm nilimuonya gwajima asimtweze Rais akanishinda na akaamua kutoka nje ya ibada.
amevunja kanuni ipi ya usajili? itaje hapa.

pia, kwako wewe na viongozi wako, kukemea uuaji na utekaji ni kuvunja kanuni? kumbe sheria inaruhusu kuua na kuteka? na, unazijua kanuni au wewe huwa unatumwa tu kuua na kuteka basi!
 
Kanuni Moja ni usifanye siasa madhabahuni. utekaji ni uhalifu sawa na uhalifu mwingine ambao vipo vyombo mahususi vinavyohangaika na kuzuia na kupambana na uhalifu wa ndani na nchi. Wewe raia kazi Yako ni kutoa taarifa kwa vyombo hivyo, sio kupambana kama anavyofanya Gwajima na waumini wake.

Kwanini asifanye hivyo kwa aina nyingine za uhalifu kama ujambazi, ukwepaji Kodi, madereva kutanua, na maaskofu kutembea na waumini na kulawiti watoto wadogo? Au hujasikia kanisa mapadre wake wanalawiti watoto? Mbona hakuna walaka kwenye hayo?
 
wewe ni mkristo au muislam? kama mkristo, unaijua amri (among those ten) inayosema usiue?, tuambie, gwajima kukemea kuua ipo kwenye Biblia au la, kukemea uuaji bila kumpoint Rais, ni siasa?
 
Yeye haitakiwi kuhukumu, afunge na kuomba kimoyomoyo wanaoua Mungu atajua mwenyewe namna ya kuhukumu. Yeye adili na Mungu na Serikali kupitia polisi, usalama, majeshi, magereza watatumia mahakama, risasi, magereza na kutoza faini kudili na wahalifu. Gwajima wala kanisa lake hawana jukumu la kupambana uhalifu mitaani. Wasshitaki kwa Mungu na Mungu atatenda. Hata kufungwa kanisa lao waende nyumbani wakamshitakie Mungu na Mungu atawaadhibu mwenyewe wote walilolifunga kansa.

Huku kuleta fujo na mbwembwe za mawakili wa kibinadamu kwa kanisa kufungwa ni dalili za kutoamini uwezo wa Mungu kama anaweza. Hawana tofauti na wapagani wasioamini nguvu na uwezo wa Mungu. Wanachosikitia ni idadi ya sadaka zinazopotea kwa kanisa kufungwa.
 
Mahakamani kavulata na kavu au kavulta au kaulata au kaufyata au chawa au KENGE ni mambo tofauti sana japo unakuta ni fala mmoja tu kabisa kama wewe. 🤔
Kwani mtu akisema Mchongameno amefariki hujui amefariki nani
 
Sijaelewa hapo kwenye kumtweza amiri jeshi mkuu.....Gwajima kaongelea watekaji, sasa imehusianaje sasa
Katumwa na nani awasemee, anajua wametekwa kwasababu gani na nani?
 
Back
Top Bottom