Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

Wadau wa Elimu naomba kujua shule nzuri ya wasichana iliyopo Arusha

Kisesetusese

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
547
Reaction score
892
Iwe na sifa hizi.
-Ada nafuu
-Elimu Bora
-Isiyo na makuu
-Iliyotulia
-Watoto wa hali zote
-kidato cha 1-6
Nk

My take.
Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia mungu zinakiwa safi sana.
 
Imamu Ali sec. Ipo kisongo, ase hii shule ni nzuri ackwambie mtu, fika shule ujionee, 0764101348
 
Kuna shule ya kata sasa ime advance Ina mazingira mtulivu, na safi kwa mwanafunzi kusoma na kujisomea,

Shule inaitwa mlangarini sec, kidato cha tano na sita ni wasichana, mkondo wa kidato cha kwanza Hadi nne ni me na ke japo wanaondoa me wabaki girlz tuu,

Shule ipo Arusha DC, ukitokea maeneo yote ya Arusha Jiji kama unafika stand kuu ya bus Arusha, fika stand ndogo ya kilombero chukua gari za kwenda nduruma,

Utamuuliza konda akushushe karibu na mlangarini sec, utakuwa umefika kituo sikumbuk vzr ndo maana,
 
Back
Top Bottom