Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe.
Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE.
NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu wakalinda Kura. Lissu angesimamia hapo kwenye kuwahamasisha watu walinde Kura. Ndio strategy waliyo itumia 2010 na 2015 na iliwalipa. Wangeweza kupata hata wabunge 40.