Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

trojan92

Senior Member
Joined
May 18, 2024
Posts
106
Reaction score
293
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC

Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii nk aidha kodi kwa chumba inakuwa shingapi ili nijipange vema

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini wenyeji watanisaidia kwa kunipa hints na tips
 
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyezi wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda

Una bahati sana,Bunda ni centre pale,MISHE MISHE zote za mjini unazipiga kiaina,.....kwenda Mwanza etc
 
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyezi wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda

Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii nk aidha kodi kwa chumba inakuwa shingapi ili nijipange vema

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini wenyeji watanisaidia kwa kunipa hints na tips
Umeula kafanye kazi..kikubwa ukaishi na watu vizuri
 
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyezi wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda

Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii nk aidha kodi kwa chumba inakuwa shingapi ili nijipange vema

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini wenyeji watanisaidia kwa kunipa hints na tips
Wakati unaomba kazi hukujiuliza hayo yote? Vijana mbona mmekuwa wapumbavu na wavivu sana? Kama hutaki hiyo kazi achia wengine na sio kuuliza upuuzi hapa JF
 
Bunda ni town,pako vizuri..huduma zote za msingi unapata, ukitaka kwenda kula watoto wakali mwanza ni lisaa limoja tu umefika..
 
Sawa sawa mtu akwambie njoo butiama mjin, utashangaa sana
Mkuu mjini kunatofautia na mtu aliipokulia kwa mfano kijana aliyezaliwa Dar ukimpeleka Mikoani uko kufanya kazi atapata shida sana kuzoea mazingira kwasababu ametoka sehemu yenye huduma zote za kijamii na kashazoea kutumia usafiri sehemu ya umbali mdogo na usafiri upo masaa 24hrs, Sasa kija kama huyu akienda kuishi uko mikoani kwanza atajifunza kukaa nyumbani ikifika saa tatu usiku na kuwahi kulala mapema, na atapata shida sehemu za kwenda kutembea. Na atakutana na aina mpya vya mavazi vya wenyeji wake.
 
Back
Top Bottom