Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

Mwambie na guesti zipo za kutosha.

Lami nyingi tu, maisha mazuri.

Ila Waikizu janjajanja za kuhuni. Kuwa nao makini kidogo tu.

Bunda Mwanza, Tsh 10,000 mara moja moja kutembea.

Bunda Mjini panafaa kuishi pazuri.
Guest za bunda ikifika saa moja zishajaa ni kwamba bunda wanapigana sana miti au niaje?
 
TC ndo maana yake town center mwalimu mwenzangu!? TC ni Town Council ( Halmashauri ya mji)
 
Mkuu mjini kunatofautia na mtu aliipokulia kwa mfano kijana aliyezaliwa Dar ukimpeleka Mikoani uko kufanya kazi atapata shida sana kuzoea mazingira kwasababu ametoka sehemu yenye huduma zote za kijamii na kashazoea kutumia usafiri sehemu ya umbali mdogo na usafiri upo masaa 24hrs, Sasa kija kama huyu akienda kuishi uko mikoani kwanza atajifunza kukaa nyumbani ikifika saa tatu usiku na kuwahi kulala mapema, na atapata shida sehemu za kwenda kutembea. Na atakutana na aina mpya vya mavazi vya wenyeji wake.
Acha kabisa
 
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyezi wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda

Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii nk aidha kodi kwa chumba inakuwa shingapi ili nijipange vema

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini wenyeji watanisaidia kwa kunipa hints na tips
Muone Esther Bulaya
 
Cha muhimu hapo ni kazi ama mazingira?
 
Natamani siku nijue huyu jamaa anafananaje Kuna muda anakuaga anafokea fokea watu.

Sijui kwa Nini kajaa u SADINIST all in all JAMII FORUMS ni limsitu likuuubwaa Sanaa zaidi ya Amazon.
Wewe Dr Pori fanya bidii kwenye mambo yanayokuingizia kipato na sio kufahamu watu ambao hawawezi kukusaidia.
 
Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu

Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyezi wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda

Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii nk aidha kodi kwa chumba inakuwa shingapi ili nijipange vema

Natanguliza shukrani za dhati nikiamini wenyeji watanisaidia kwa kunipa hints na tips
Acha hiyo kazi kama umepangiwa bunda kwisha habar
 
Hakunaga Bunda Town.....Cha Msingi Nenda Ukaripoti Ulikopangiwa...Mengine Yatafuata....
Watu wa Dar wanajua hadi kuitwe mjini lazima iwe ni sehemu ya Dar! Kuna halmashauri ya Bunda mji we unasema Bunda hakuna mjini as if ninyi ndo watoa vigezo vya miji, maniapaa na majiji.
 
Back
Top Bottom