kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  2. Kuna anguko kubwa sana la kujua kuandika sentensi na herufi sahihi za maneno miongoni mwetu Watanzania

    Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc. Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye...
  3. Naomba kujua kuhusu HONOR X9B

    Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
  4. Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

    Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze. Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto...
  5. J

    Kwanini watu wa Dar huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?

    Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani? Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu. Maadimin wa JF Wapo Dar, ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar Melo yupo Dar, Vyuo vikuu Bora vipo Dar Flying over za maana zipo Dar Uswahilini kupo Dar Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
  6. Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  7. M

    TCRA watakagua simu za Watanzania wote kuwajua wanaotumia VPN?

    Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha . Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi. Msaada wa kitalaamu
  8. Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
  9. Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  10. Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
  11. Mnaotaka kujua ukweli kuhusu mzozo wa Israel na Palestina na yupi ni mkaidi piteni hapa

    Kuna wale waliodanganywa na wachonga hadithi kwamba Wayahudi hawakuwepo pale ila walikusanywa kutoka Ulaya na Mwaka 1947 wakapelekwa pale baada ya kukataa kupelekwa Uganda huu ndiyo wakati wa kuyaondoa matongotongo akilini. Nimewatufutieni clip hii kwa makusudi. Hii vielelezo vyake vyote vipo...
  12. J

    Makundi ya CAFCL yatamalizika kama yalivyopangwa.... CAF ni kama wameshavujisha watakaopita na watakaobaki bila kujua

    Baada ya kuyatazama haya makundi zaidi ya mara 10, na kuzifanyia utafiti wa kina club zote kwenye makundi kujua strengths and weakness zao nimefikia hitimisho kuwa, msimamo wa mwisho wa makundi haya yatamalizika kama yalivyotolewa na CAF Yaani CAF wamevujisha watakaopita na watakaobaki bila...
  13. Naomba kujua maana ya majina ya utani ya Majenerali wetu waliopigana vita ya kagera

    Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake. Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo. Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo mkubwa wa wapiganaji wetu kutoka JWTZ. Palikuwa na Majenerali walioongoza brigedi mbalimbali...
  14. USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Habari wana JF. Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15. Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto, Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake. Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae. Na mtoto ana umri wa miaka 20. Mume wa ndoa kazaa naye...
  15. U

    Naombeni kujua Sheria mpya, Far Rabat imetolewa champions Ligue haitashiriki shirikisho

    Nimesikia katika online TV moja kuwa timu ya Far Rabat ikinolewa na nabi kipara former kocha wa yanga , haitashiriki shirikisho kulingana na Sheria mpya , sote tunajua awali ilikuwa ilikuwa ukitolewa hatua hii unaangukia shirikisho kama ilivyokuwa Kwa yanga mwaka Jana. Kwa anayejua atusaidie...
  16. Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  17. R

    Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  18. Msaada: Nauli ya ndege Dar-Kigoma daraja la economy ni kiasi gani?

    Ndugu wanabodi naomba kujua gharama kwenda na kurudi kutokea Dar.
  19. Watu wanaomlaumu Vicky Kamata, wanadhani Magufuli alipomtumbua Dkt Servacius Likwelile alimuacha na hela. Bila kujua alilelewa na Vicky

    Katika Uongozi wa Awwmu ya tano, 13 Agosti 2016 aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli alimtengua Dkt Servacius Likwelile, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(sera) nafasi yake ikachukuliwa na Doto James. 19 Machi 2016 Vicky Kamata alifunga ndoa na Likwelile. Watu...
  20. K

    Watanzania ambao hawapendi kusoma hawahitaji shahada (Miaka 3) kujua katiba

    Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…