kumtukana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

    Hili jambo Huwa linanishangaza Sijui Huwa ni pepo au vipi Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya...
  2. Mwaka wa Tisa huu sijampiga wala kumnyooshea kidole Wakati kumtukana Binti Kimoso

    MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati hizô siô miaka michache. Katika miaka yote hiyo tumepitia mambo mbalimbali yaliyotujenga na yapo...
  3. L

    Nawakumbusha tuliwahi kumsajili beki mmoja akiitwa Mohamed Ouattara lakini tukaishia kumtukana, tusubiri uwanjani ndio tuwasifie

    Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba...
  4. Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  5. Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
  6. Namsikitikia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  7. Namsikitia mama Samia, kumbe amezungukwa na viongozi wanaomdharau na kumtukana!

    Mama yetu hajui ashike lipi na aache lipi, kila kona wamejaa machawa, ambao wako kumtumia tu, wakiwa gizani wanamdharau, wanamtukana, kumhujumu na kumchafua. Kwa sasa hajui nani ni rafiki na nani ni adui, ni vurugu tupu. Mama Samia pamoja na kuwapa vyeo vya dezo bado watu wale wamekosa shukrani...
  8. Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
  9. Hamis Mgeja adai kuna waliopandishwa vyeo kwa sababu ya ‘kumtukana Lowassa’

    Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hamisi Mgeja amesema kiongozi huyo alikuwa na uvumilivu wa hali ya juu kiasi cha...
  10. Fadhili Majiha anahitaji mapambano matano 🖐️ tu aweze kumtukana mpaka Diamond Platnumz

    Baada ya bondia Fadhili Majiha kumtwanga The wonder boy Profesa Bongani Mahlangu na kufanikiwa kuchukuwa mkanda wenye heshima zaidi duniani ambao sio mwingine bali mkanda wa WBC (WBC AFRICA BANTAMWEIGHT ) na kumfanya kuwa bondia namba 7 duniani na namba 1 hapa Tanzania katika uzito wake wa...
  11. Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
  12. Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Uhuru usio na mipaka ni uhaini. Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi. Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa...
  13. Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
  14. Shukurani ya Punda ni Mateke, aliyefundishwa na Mwalimu leo ni wa kwanza kumtukana Mwalimu

    Habari wa wakati huu JF members. Na imani mkoa powa sana, niende moja kwa moja kwenye jambo lililonifanya nipost kwma mara ya kwanza humu JF. Mimi siyo mwalimu na sijawahi kuwa mwalimu na ndoto ya kuwa mwalimu lakini hili swala la wanajf kuwatukana walimu ni mambo ya ushamba na ujinga...
  15. Yanga ilimtuma Ally Kamwe kumtukana Mgunda?

    Maneno machafu aliyotoa Msemaji wa Yanga kila mtu aliyasikia. Wanasoka na wana habari wamekemea na kushangazwa na kauli zile chafu. Lakini mimi naenda mbali zaidi. Katika hali ya busara na kuonyeshwa uungwana taasisi inapaswa ama kuomba radhi au kujitenga na ujinga wa mwakilishi wake? Lakini...
  16. Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  17. Misri: Rais wa Zamalek atupwa jela kwa kumtukana Rais wa Al Ahly

    Mortada Mansour Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib. Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani alikuwa akitumia nafasi yake hiyo kuzuia kushtakiwa lakini baada ya kupoteza katika uchaguzi wa Mwaka...
  18. Kusema kuna watu wanamshauri vibaya Rais au wanampotosha Rais ni kumtukana Rais

    Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri. Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!? Wengi wanafikiri...
  19. M

    Kibajaji hata akijipendekeza kumtukana Bashiru, Mtera harudi tena 2025

    Huyu mbunge wa Mtera bwana Livingston Lusinde ana kiherehere sana. Ila analiwa timing. Asidhani Kinana, Mkwere, Nape, Makamba sr &jr pamoja na Membe wamemsahau. Enzi za Jiwe aliwatukana sana kwa kujipendekeza jinsi anavyojipendekeza sasa hivi kumtukana Bashiru. Ana kiherehere na kujipendekeza...
  20. Rais Samia mfute kazi Waziri Mkenda; anakuchafua nje ndani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…