Je, inatosha kumuenzi Mwl Nyerere kwa kukimbiza Mwenge wa Uhuru tu? Hatuna mbadala wa Mwenge kama namna ya kumuenzi Mwl? Agenda ya Mwl iliishia kwenye uhuru tu? Wakati wa Magufuli, Chama kupitia Mwenezi taifa wake, kilimuenzi Mwl nje ya mipaka ya nchi kwa kwenda Beijing kufanya midahalo mikubwa...