Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu..
Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye makazi ya watu inazidi kimeguka hali inayoweka nyumba zao katika sintofahamu..
Eneo hili limeharibika...