Nawasalimu nyote kupitia jina kuu lipitalo majina yote duniani na mbinguni.
Kama kichwa cha Uzi kinavyo jieleza, nahitaji gari dogo lililotumika Kwa bajeti isiyozido ml. 6.6
Aina ya gari ninazopendelea ni Spacia, raum, runx/allex, probox/succeed, premo na ractis.
Kama unayo, nitumie dm picha...