JESHI la Polisi Mkoa wa Mtwara, linaendelea kufanya upelelezi juu ya jaribio la kutaka kujiua lililofanywa na binti Zamira Hashimu (20), mkazi wa Kijiji cha Makote wilayani Newala baada ya kudaiwa kunywa sumu ya kuulia panya na kujikata na wembe mguuni baada ya kulazimishwa kuolewa na mwanamke...