kuomba

  1. T

    Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  2. M

    Nipeni ushauri

    Miezi mitatu iliyopita nilianza uhusiani na binti ambaye hatujawahi kuonana mpaka leo. Tumejuana fb lakini msichana huyo ametokea kinipenda sana kiufupi amezimika namimi. Sijawahi kumwambia kuhusu kumuoa lakini yeye amefanya namna mpaka mfumo huu wa penzi letu ukajikoki kama ni watu...
  3. Mshtakiwa wa kesi ya Mirungi akusudia kuomba majadiliano na DPP ili kumaliza Kesi

    Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo. Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
  4. S

    Kuomba ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  5. Imekaaje unatoa na kuomba msaada?

    📌 Mimi bado najifunza tabia ya mwanadamu. Na
  6. Azimio wamtumia taarifa IGP Kenya kuomba ulinzi maandano ya Machi 27

    Muungano wa Azimo la Umoja nchini, Kenya umemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo (IGP), Japhet Koome kumtaarifu kuhusu kufanya maandamano na maombi ya Kitaifa. Barua hiyo iliyosainiwa na mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Azimio la Umoja, Dk Wycliffe Oparanya imeandikwa leo...
  7. R

    Aliyekuwa Mbunge wa Serengeti arejea CHADEMA. Aeleza kilichomsibu na kuomba msamaha

    Ni mbunge wa zamani Jimbo la Serengeti. Ameeleza kuwa kile kilichowakimbiza Mh Lissu na Mh Lema kwenda ughaibuni ndio hicho hicho kilichomfanya kuunga juhudi. Kwa maana nyingune kunguru Mwoga hukimbiza ubawa wake. Mbunge akiwa chadema 2015 hadi 2018 alipoamua kuunga juhudi. Aomba msamaha...
  8. J

    Mariam Ditopile amlipua Lema, amtaka ajitokeze kuomba radhi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu Vicoba ambayo ni yakuwadhihaki wanawake. Katiba hotuba...
  9. CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  10. Kuomba msaada wa bure kwa Fatma Karume. Je, Fei ameshindwana na wakili wake au hamuamini?

    Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto amesema: "Tumemaliza tulichokuwa tunakifanya, tumewaachia wao watafakri upya, mimi nina mwakilisha tu...
  11. Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

    Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
  12. Ni kwamba watu wamechoka kuomba au imani yao ni ndogo kulinganisha na wanaoitwa manabii/ mitume?

    Jamani, siku za leo kuna watu wengi sana wanaamini manabii pengine kuliko hata wanavyojiamini wao wenyewe. Baadhi hawafanyi maamuzi hadi waombe ushauri kwa hao wanaowaamini. Kwa upande wangu maswali ni mengi. Kwamba watu hao wamechoka kuomba wao wenyewe kwa imani zao, au imani yao ni ndogo?
  13. Hivi Kuna mwalimu amewahi kuomba extra duty allowance akanyimwa ?

    Habari! Kila mwajiriwa anamjua mwajiri wake, hata walimu bila mashaka wanamfahamu mwajiri wao. Nadhani wengi wako chini ya wakurugenzi wa halmashauri wanazofanyia kazi. Sheria za kazi ziko wazi kabisa, kuwa masaa ya kazi ni 8 , na mtu akifanya ziada alipwe ziada. Je, walimu wa zamu ambao huwa...
  14. D

    Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

    Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
  15. Sala ya kuomba mchumba mwema

    Kwa wale mnatafuta wachumba wema Nimewarahisishia kazi.
  16. Licha ya Feitoto kuomba apatiwe mapitio ya uamuzi wa swala lake, kwanini Hadi leo TFF haijampatia pitio Hilo ili kuona vipengere vilivyombana?

    Haki ya feitoto inataka kuchukuliwa kwa nguvu au kupindishwa kwa kukosa wa kumsemea. Licha ya kuomba kupatiwa pitio la hukumu iliyotolewa juu ya swala lake Tff Ni Kama imekataa. Imegoma kabisa ata kumjibu itafanyia kazi lini. Kimsingi pitio Hilo ndio lingeweka wazi vifungu walivyotumia Tff...
  17. Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  18. Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  19. Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…