Wanaume ni viumbe wa ajabu sana jamani leo nimeyaona maajabu yao.
Iko hivi, my man nilikwenda naye kwenye mwaliko wa kula sikukuu ya idi nyumbani kwa shoga yangu Pamela, nilialikwa na shoga yangu hivyo sikuona sababu ya kumtelekeza chibaba wangu home alone nikalie bata peke yangu, nilimwambia...