Habari wajumbe,
Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote.
Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
Amani iwe nanyi,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu kustahili shukrani kuu. Pia, nakipongeza CCM kwa kudumisha utamaduni wa kuandaa chaguzi za kidemokrasia...
Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko?
Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza?
Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na...
Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu unachakumshauri mtu anaye kuzidi kipato au mamlaka?
Sasa ni hivi ktk purukushani za siasa hasa hapa Afrika na...
Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu.
Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo.
Oktoba 21, kikosi...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini.
Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA
Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika.
Mapenzi haya...
Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia.
Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko.
Eleweni wako watu...
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na ushee.
Kamera ina ukubwa sawa na gari ya vitz ama ist.
Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu.
Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
Za asubuhi ndugu zangu, kwema?
Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa.
Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu...
Siku moja niliamua kufunga safari, kwenda kutalii kwenye kijiji kimoja, ili niweze kupata hewa safi ya asili itokanayo na misitu, pamoja na mimea ya asili.
Baada ya kufika kwenye kile kijiji, nikawa nashangaa shangaa mifugo inayouzwa katika mazingira yale. Wengi walikuwa ni kuku,mbuzi, kondoo...
Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi.
========
Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces have fought all the way to Kupyansk, a critical node in Russia’s supply lines in Kharkiv Oblast in...
Na WyEST,
DAR ES SALAAM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani.
Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
Hakika katika migogoro inayoendelea ni dhahiri kuwa watu wengi tumekuwa tukitamani kuona nini mwisho wa yote yanayoendelea kutokea hivi sasa.
Mpaka sasa Urusi inaendelea na kile inachokiita kuwa ni "oparesheni ya kijeshi" katika taifa la Ukraine. Watu wengi tunatamani kuona mwisho wake.
China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.