kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

    Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi. Mtu...
  2. BabaMorgan

    Kupiga chabo kulipelekea kuona tukio la mke kumloga mme wake kupitia chakula

    Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii. Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
  3. S

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa ,akyanani utajiona upo peponi.
  4. K

    Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

    Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya. So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa...
  5. KENZY

    Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

    Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..?? Msaada tafadhari.
  6. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, Nape Nnauye: Inauma kuona tunateswa na rasilimali zetu wenyewe. Wanahabri tusaidie

    HOTUBA YA WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKINOLOJIA YA HABARI MHE. NAPE NNAUYE (MB) AKIFUNGUA MAONYESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI NAYOFANYIKA JIJINI ARUSHA TAREHE 2 MEI, 2022 Mhe Said Mtanda, Mkuu wa Wilaya ya Arusha na mwakilishi wa Mkuu wa mkoa wa Arusha...
  7. Jokajeusi

    Shemeji kaanza mazoea mabaya baada ya kuona Joka langu

    Ndinkafu! Baada ya kuona Joka langu likiwa limetuna kwenye kaptura kaanza mazoea. Wiki ya pasaka tulitembelewa na Dada wa mke wangu hapa nyumbani, juzi Jumanne Asubuhi wakati natoka niende kuoga kusudi niende kazini, Shemeji alikuwa akitoka chooni nami nikienda bafuni, vyote viko ndani Kwa...
  8. M

    Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

    Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
  9. sky soldier

    Obama amtania Biden ni Vice President, Biden ashangazwa kuona watu wakijazana kwa Obama huku akibaki pekeyake

    Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!! Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama ana kundi la watu wamejazana kwake...Biden anamcheki Obama...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuna Watanzania ni makatili sana na hawana upendo kabisa. Wanafurahia nini kuona dunia ikikosa amani?

    Nchi ina mijitu ina roho mbaya hii sijapata kuona. Watu wanauana huko Ukraine 🇺🇦, watu wanashangilia utadhani mechi ya mpira wa Mrs Simba na @mr Yanga. Hawa wanajiita team Ukraine 🇺🇦 wakiongozwa na Mkenya anayetamani sana kuwa Mtanzania MK254 , na pia kuna team Russia 🇷🇺 inayoongozwa na...
  11. nyboma

    Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

    - Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao. - Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
  12. aka2030

    Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

    Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi? Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
  13. M

    Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

    Habarizenu humu! Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa. Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna...
  14. OLS

    Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  15. FRANCIS DA DON

    Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

    Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo? ================================ Update: 15/02/2022...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Hakuna baba ambaye hataki kuona watoto wake wote wanamtii, wanamheshimu na wanafanikiwa, tukubali tu kuwa kuna mapungufu

    Habari! Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana. Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni; - Baba(mzazi) -Muweza wa yote -Yupo kila pahali -Anajua yote --Muumba -Mwenye huruma. *****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
  17. B

    Unajisikiaje kuona ndugu yako wa damu anayehudumia familia yenu ni mmoja wa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya akina Mbowe?

    Baba Yako au ndugu Yako unapomuona akiwa upande wa mashihidi kesi ya akina Mbowe unajisikiaje? Unajisikia furaha kwamba ukoo wenu umezaa shujaa ukamsomesha na kumwombea Kwa Mungu apate na Sasa anafanya kazi mliyotamani awe anaifanya? Unaposikia ndugu Yako akitajwa KWENYE jopo la mawakili wa...
  18. Chance ndoto

    Nasubiri kwa hamu kuona pale Jangwani hali itakavyokuwa baada ya mvua kunyesha

    Yapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia. Mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakuwa shida?
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  20. LIKUD

    Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
Back
Top Bottom