Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali.
Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge.
CHADEMA kimedhihirisha ni chama cha ujanja ujanja kisichosimamia misingi ya demokrasia.
Kitendo cha viongozi na mashabiki wa...
Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi
lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha kushangaza
Mm kipind nipo o level kuna mdada wa chuo alikuwa analeta kisimu( tecno button)nmchajie...
Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi.
Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi?
Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
KAZI IENDELEE
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
Na Fadhili Mpunji
Katika muda mrefu miaka karibu mitano sasa, mawasiliano kati ya China na Marekani yamekuwa katika hali ambayo wachambuzi wengi wameiita si ya kawaida. Tangu Rais Donald Trump alipozusha mvutano usio na maana na China, mawasiliano ya kidiplomasia na hata uhusiano wa kiuchumi...
Kwa nini HATUPENDI KUONA wenzetu WAKIFANIKIWA?
Tunaishi kwenye ulimwengu wa mashindano ambapo tumefundishwa kufanya ulinganifu wa Maisha yetu na ya wengine.
Wapatapo mafanikio wnzetu kwetu huwa ni pigo Kubwa Sana, Mara nyingi huwa hatufurahii mafanikio ya WENZETU.
Mara nyingi Tunaamua...
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Dunia ina double standard sana.
Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi.
Mpaka sasa ni nchi kama Saba zinazoweza kuunda Aina hii ya nyuklia.
USA haikufahamu kuwa Korea Kaskazini ina uwezo...
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine...
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo.
Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani.
Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo.
Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Kama sheria inaruhusu, na kama mzee huyu ana sifa na vigezo vinavyotakiwa, basi stashangaa kuona akiteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi wa mojawapo ya taasisi zetu hapa nchini.
Lakini kwakuwa hata utawala wa sheria hauzingatiwi, bado tu anaweza kulamba uteuzi hata kama sifa hana.
Hivi ndivyo wenzetu...
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda,
Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.