Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu.
Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu.
Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi wa viwanja lakini cha namna. hata vilivyopo hapa Dar, havikamati hili shangwe! WASALAAM.
Kwa mazingira yeyote je, ni sahihi kwa "mtoto mdogo" kuona tupu za wazazi wake?
Unaweza kuwa uko chumbani unavaa alafu mwanao mdogo akaingia chumbani, au unaweza kukaa bila nguo mbele ya mtoto wako mdogo?
Najua kila mtu ana ufafanuzi wake kuhusu mtoto, niseme chini ya miaka 5.
Tayari Raila Odinga ameanza kuongea kuhusu kwenda Mahakamani.
(In fact, na majaji watakaosikiliza hiyo kesi ,ikihitajika,wametajwa)
Last time Odinga aliposhindwa na Uhuru, alikwenda Uhuru Park, Nairobi,kutangazwa serikali ya wananchi.
Nilikuwa nawasikia Radio One , Daressalaam,jana usiku...
Karibuni kwenye huu mjadala.
Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono.
Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa
1. NSSF
2. NHIF
3. PSSSF
4. TCRA
5. WCF
6. MSD
7. TPDC
8. TIC
9. NGORONGORO CONSERVATION...
Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu.
Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako.
Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia.
Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku.
Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.
Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
Uchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani...
Hello Great Thinkers..
HIli sakata limenisikitisha sana,
Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..
Nimeandika topic hii ili kama...
Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani...
Kumbe hili jina linaweza kutumiwa na muumini kama jina lake?
Huyu ni mwenyeji wa Morocco. Na leo kwenye fainali namuona hapa.
Muongozo tafadhali FaizaFoxy adriz Kisai
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane
Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara..
Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.