Ndani ya Utawala huu wa Rais Samia Suluhu mambo mengi sana yamefanyika katika kuleta maendeleo Tanzania ukiachilia maendeleo katika kuhakikisha kuboresha huduma muhimu za kijamii kama vile Maji, Miundombinu, Afya pia Elimu jambo kubwa zaidi kisiasa ni hili la kufungua mikutano ya kisiasa...