kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mallerina

    Jaribu kupata mtoto

    Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto... Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. ....... Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine... Thank me later Cc: Kijana masikini and 100 others
  2. R

    Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  3. Pascal Mayalla

    Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,wala ku discuss watu!。 Naomba wachangiaji tujadili hoja tuu ya msingi bila kutaja...
  4. R

    Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wengi wanaofanikiwa Kupata ndoa ni wale Wanaokabia Juu

    WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA JUU 1. MBINU YA KUPAKI BASI Hawa ni wale kwenye mahusiano ambao wanasubiri Mpaka mwanaume afuate...
  6. 3

    Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

    Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi. Mwenye umri miaka 40 kwenda juu Jinsia mwanamke Mkristo Asiye na uwezo wa kuwa na watoto Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano. Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
  7. kipara kipya

    Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  8. Waufukweni

    Pambalu: Watu wanachimbishwa mitaro kupata pesa za TASAF

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF). Pambalu...
  9. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
  10. K

    Siri: Njia rahisi ya kupata mganga wa kweli

    Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji Laki moja kijijini ni hela ambayo inaweza kukupa manufaa makubwa. Fanya hivi Panda gari kutoka dar mpaka sumbawanga mjini...
  11. T

    Kazi ambazo ni rahisi kupata kwa wakuja ukifika USA

    Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji. Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata: 1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
  12. MwananchiOG

    Je, hii ni coincidence au la? Timu zinazoelekea kucheza na Simba kupata ajali na mechi kuahirishwa

    Hili Jambo linashangaza sana, Kuna namna fulani ya kimazingira haijakaa sawa. JKT pia ilikuwa hivihivi, Sasa ni Dodoma Jiji, Pia kuna mazingira ya timu bora mfano Tabora utd kupata majeraha ya wachezaji muhimu pale wanapokutana na hii timu. Poleni Wachezaji wa Dodoma Jiji
  13. Dalali wa mjini

    Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  14. kipara kipya

    Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
  15. MamaSamia2025

    Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  16. chichikande

    Msaada: Kupata cable ya hii swiss level

    Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada.
  17. Chizi Maarifa

    Ukitaka kupata Papuchi, Usiitake. Yenyewe ndo itakutaka. Yamenikuta

    Huyu bidada nlikutana naye ofisi moja hivi nikampenda maana utadhani mtutsi au msomali. Shape anayo, sura anayo, rangi anayo. Akili? Sijui. Anyway mi sina lengo la kumsomesha wala kumtungia mitihani. Hayanihusu. Mjini tunabadilishana biz cards. Na tukaona tuseviane numbers pia. Basi nikawa busy...
  18. kwisha

    Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

    Ivi nikawaida kwa mwanamke ambaye ameolewa kukaa miezi miwili mpaka 4 uko bila kupata feeling zozote Za kufanya tendo la Ndoa na mume wake ?
  19. W

    Baba anayepata Mtoto Njiti kupata Likizo ya Siku 7

    Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki 40 baada ya Mama kujifungua huku Baba wa Mtoto njiti akipewa likizo ya siku saba badala ya likizo...
  20. Yoda

    Ethiopia yenye nguvu ilishindwaje kupenya baharini kupata bandari pembe ya Afrika?

    Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea. Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
Back
Top Bottom