Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.
Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa...
Habari, Je, wewe ni freelancer mwenye ujuzi wowote ambae umejisajili na kutumia platform ya fiverr lakini hujapata kazi mpaka leo?
Karibu tukusaidie.
Competition ni kubwa Fiverr, You need a good Fiverr gig; we are here to help!
Tunaweza kukusaidia kwa kukutengenezea a good fiverr gig yenye...
Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka.
Jamaa alikua anatunga...
Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa.
Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana.
1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza
Kabla ya kuanza, lazima uamue...
Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook.
1. Kuanzisha...
Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa.
Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu
Kulipa Kodi ni jukumu la kila anayeingiza kipato
Kama serikali inatoza Kodi mlinzi wa SUMA JKT, mwalimu, police, nurse n...
Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro.
Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
Wakuu habari,
Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
Habari waungwana,
Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa
Sasa lengo langu, nahitaji zaidi kupata sms zote za nyuma mwezi mmoja nyuma zote na calls, laini ni mtandao wa Voda...
Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii.
Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani?
Niko Tanga, Tanzania
Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi.
Ningependa kwa wenye...
Ni nani ambaye hapendi kuwa na mtoto/watoto? Asilimia 90 wanapenda.. Lakini mtoto/watoto hawapatikani dukani ama gulioni ama mnadani kwamba utaenda Kuchagua uwatakao na kununua.. La hasha
Kupata mtoto/watoto ni commitment moja kubwa sana yenye kuhitaji utayari na kujitoa kwa wazazi wote wawili...
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani
https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
Habari za muda huu wana jF ningependa kuuliza na kujua
Je kama nimeshalipia control number ya passport online nika downlaod na form na imepita miezi sita je nikitaka kwenda kwnye ofisi ya uhamiaji inanibidi nianze upya ufuatiliaji (kulipia 20,000 ) kwenye control number.? au nitaendelea nilipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.