Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa).
Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama skrepa lakini kuna magari mengine unaweza kupata mnunuzi wa bei nzuri tena siku hiyohiyo unayotangaza...
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye...
Habari,
Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa kwenye interview ila changamoto yangu kubwa mpk sasa ni kwamba nimepoteza cheti original cha form 4...
Wakuu swali hili.
Kama ushawai tumia kondom utaungana na mimi sehemu ya mwishi karibu na shina condom huwa haifiki na hii kupelekea wakat wa tendo kulowa au kugusana maji maji
Je, hii haiwezi sababisha maambukiizi?
1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia.
2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
4. Kocha wa viungo aliyekuja...
Swali.
Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda?
My Take
Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda.
Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui...
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp
Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp?
Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
Hii natoa testimony 5 ambazo zitakudhirishia mapenzi sio pesa
1. Mpenzi wa kwanza. Wakala wa pesa kupitia mitandao ya simu.
👉Huyu demu mimi nilikua naenda kuweka miamala na Sina maisha miamala yangu ilikuwa haizidi elfu kumi (alifunguliwa duka LA huduma za fedha mkoa x na jamaa ake) nilikua...
Ndo hivo imetokea japo sijutii kwasababu ya mgogoro wa hapo kipindi Cha nyuma ambapo ilinibidi kumtafuta wa kunipa furaha
Sasa baada ya wife kugundua nataka kuoa mwingine Basi akarudisha upendo na kuwa mpole japo mimi sikutaka Tena kuwa naye kwani stim zilishakata kwake
Akawa ananiomba...
Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara.
Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa mshirika wa kampuni hiyo. Hapa ni njia za kufaidika na hisa:
1. Faida Kutokana na Ongezeko la Thamani...
Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko kuthubutu kurudi huko?
Kuna kitu nataka kufundisha kuhusu hili.
Wana-Kigamboni tufanye Jambo moja tu. Kura zote kwa Komredi DAB
Kuhusu kifo cha mbunge wa Kigamboni, soma TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile afariki Dunia
Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant about it.
So ningependa kuwa enlightened, Dunia inaenda Kasi jamani.
Your contributions would be...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani.
Wenje ametoa ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.