kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 5523

    BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

    Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi kushiriki katika vita vya Urusi na Ukraine, viongozi wa DPRK watapokea kutoka Moscow takribani tani...
  2. D

    Nina miaka 40, naweza kupata mshangazi?!!!

    Au Ili awe mshangazi wako inabidi uwe chini ya miaka mingapi?!!
  3. M

    Trump ana mkwe Mlebanon: Je, itamsaidia kupata kura za Waarabu-Wamarekani?

    Uchaguzi unaoendelea huko Marekani umeonyesha kila aina ya rangi. Wakati wagombea wote wakichuana vikali, na huku ikionekana kuwa kura za waislamu na waarabu katika swing states kama vile michigan zinaweza kuamua nani awe mshindi wa kinyang'anyiro hicho. Wagombea wote "rhetorically" wanaonekana...
  4. I

    Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

  5. BROTHER OF BROTHERS

    Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
  6. Last_Joker

    Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
  7. Mzee Saliboko

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe? Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
  8. A

    Naweza kupata mkopo NMB, nina changamoto?

    Habarii ndugu zangu Wanajf, Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua. Je? Ninaweza kupata mkopo NMB? Kama jibu ni ndio nilikuwa naomba kujua vigezo vyao na huchukua Muda gani mpaka kupata. Ahsanteni Sana;
  9. G

    Anaimba tangu 2020 kawahi kupata show mbili za laki 1 na elf 20, Nawezaje kumshawishi ajikite zaidi na vitu vingine vya kimaendeleo

    naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko. Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
  10. M

    Msaada wa kupata Remote jobs

    Hello! Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato Cha ziada
  11. Orketeemi

    Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia, Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
  12. Bullbuddy

    Nawezaje kupata nafasi ya kuhamia UDOM?

    Wakuu habari? Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza, Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka Au mwenye...
  13. K

    Kupata Mali Sio Dhambi .

    Biblia haimlaumu mtu kwa sababu ni tajiri;Wala haisemi kuwa utajiri ni chimbuko la uovu wote.Badala yake maandiko yanasimama kuwa Mungu atoaye uwezo wa kupata utajiri Na uwezo huu na talanta iliyo nzuri kama ikitolewa kwa Mungu na kutumia na kuendesha kazi yake .Biblia haimlaumu uwezo wa ubongo...
  14. M

    Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  15. M

    Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  16. E

    Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  17. Yoda

    Wanaume wasiojiamini(insecure) ndio wanashadadia zaidi (wako obsessive) kupata wanawake bikira.

    Ukiona kijana wa kiume au mwanaume mtu mzima kila mara anaongea "wanaume ni muhumu kuoa wanawake mabikiara" , mara siku hizi bikira ni adimu sana na upuuzi mwingine kama huo mara nyingi huyo mwanaume hajiamini/ana insecurity inayotokana na kipato, domo zege au uwezo duni wa kufanya mapenzi na...
  18. I

    Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  19. Stephano Mgendanyi

    Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  20. Bob Manson

    Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
Back
Top Bottom