kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stan john

    Ni wapi naweza kupata sigara nikauze jumla? Nipo Dar

    Habari, Mimi ni mfanyabiashara nipo Dar, Mabibo. Nilikua naulizia wapi naweza kupata sigara ili nije kuuza Bei ya jumla?
  2. A

    KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
  3. Baba Benson

    Naomba mwenye kujua mahali naweza pata nafasi Quality assurance officer

    Habari wana JF katika jukwaa letu hili pendwa, Nina shahada ya sayansi katika kemia UDOM. Sijabahatika kupata kazi serikalini kama mnavojua ugumu ulivo lakini nimefanya kazi katika kitengo cha ubora ( Asst lab tech na Quality supervisor) katika kiwanda cha kuchakata samaki ambapo kimsingi...
  4. N

    Umuhimu wananchi kupata elimu juu ya muonekano halisi wa vitambulisho vinavyowatambulisha Polisi

    Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana. Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
  5. Balqior

    Kwa kilichomtokea Niffer, naanza kupata mashaka kuhusu mafanikio ya kipesa ya hawa celebrity entrepreneurs wetu wa kibongo

    Habarini, Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na wanaofanana na hao. Huenda alichofanya Niffer kukusanya michango ya maafa kariakoo kina nia njema 100%...
  6. D

    Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  7. Bodhichitta

    Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
  8. Oscar Wissa

    Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  9. M

    Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  12. B

    Je, Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  13. Mindyou

    Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  14. B

    Je Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

    Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya...
  15. Mtoa Taarifa

    KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  16. mwanamwana

    SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  17. A

    Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  18. M

    Mbinu za biashara

    Namna sahihi ya kupata wateja na kukuza biashara yako
  19. GENTAMYCINE

    Sasa hivi ukikutana nao tu halafu ukajifanya unaulizia Juice ya Azam au Ice Cream ya Azam tegemea kupata Kipondo kutoka Kwao kwani inawauma sana

    Kinachonishangaza ni kwamba Wengine tumeshazoa Kutaniwa, ila Wao sasa ukiwatania tu wanataka hata Kukupiga.
  20. Afisa Mteule Drj 2

    Wapi naweza kupata hii spare?

    Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
Back
Top Bottom