Utangulizi
Kufanikiwa kupata ubunge mwaka 2025 kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni lengo la wengi, lakini linahitaji mipango, mikakati, na uelewa wa mazingira ya kisiasa.
Hapa chini ni hatua, vikwazo, na mbinu za kufanikisha lengo hili.
1. Uelewa wa Utaratibu wa Uchaguzi
a...
Wakuu samahani.
Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)?
Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response ukiuliza wao.
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake,
Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho.
Amesema muda si mrefu ataonesha ni upande gani anaounga mkono kati ya...
Ndugu zangu hii naiona wilaya ya Nkasi iliyoko mkoani Rukwa , wilaya hii ni ngumu sana kupata uhamisho hasa kupitia mfumo wa Ess ambao uliletwa mbali na shughuli nyingine kumrahisishia mtumishi kufanya maombi ya uhamisho , Katika wilaya ya Nkasi maombi ya uhamisho tena yenye vigezo kabisa katika...
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo.
Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana morali ya kazi tena ni kama taasisi imefikia ukomo hakuna mawazo mapya tena. Mkuu wa taasisi ni...
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema.
Ni dhahiri,
hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe ndio aliyetoa tangazo na agizo la kwamba CHADEMA ikashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa. Pamoja na madhaifu yaliyokuwepo ila bado alikioeleka chama kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Mwisho wa siku chama kikapata Asilimia 0.78 na CCM kikapata Asilimia 99...
Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza.
Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ?
Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
Lissu sio mwanasiasa haijui siasa kaingia kwenye siasa ili kufanikisha malengo yake ya uanaharakati.
Lengo la mwanaharakati sio kushika dola ni kutetea haki na kuleta mageuzi, tofauti na lengo la mwanasiasa ambalo ni kushika dola.
Mbowe ni mwanasiasa, mwanasiasa makini hutumia hoja, dialogue...
Haya ni maneno ya Tundu Lissu
“nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu”
Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM.
Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
Wanabodi,
Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo kwenye kamati kuu ya chama, anaweza kupata mabadiliko makubwa ya ushawishi na uwezo wa kutekeleza...
Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu,
Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya.
1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na
2. Sinoray cc 180-18(TIMING CHAIN).
Katika vigezo vifuatavyo,
1. Ubora na uimara
2. Re- sale value na kadhalika...
Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi.
Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu,
Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika wanapatikana migebuka tu na species nyingine.
Mfano Kenya kuna lake turkana inamaana huwezi kupata sampuli...
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) .
Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani.
Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya.
Amesema hayo wakati ambapo amepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Ruben Amorim, pia inadaiwa kuna...
katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k.
Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k.
Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.