Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest".
Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
Salaam wanajukwaa.
Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.
Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa...
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.
Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL...
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi.
Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Kila Mwanamke ambaye huwa anampiga matukio mwanaume mwema sana kwenye jamii huwa anazitumia njia hizi zifuatazo, vilevile mwanamke mwema sana kwenye jamii huwa anajikuta kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hapendeki.
ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO MWANAMKE AMBAYE HAPENDEKI HUWA ANAZITUMIA KUMPATA...
Wataalamu naombeni msaada Kumbe nilifuta barua ya muhimu sana.
Sina utaalamu sana kwenye simu. Vitu ninavyodelete sijui hata vinaenda wapi?
Barua inahitajika sasa halafu haipo kwenye simu. Nilitumiwa WhatsApp
😭😭😭😭
Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽
Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
Wakuu
Kwanza mtanisamehe.
Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa.
- Mtu mweusi ana shida sana.
- Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno.
- Mweusi anaishi kwa LEO yake.
- Anadeal na yanayomsibu LEO.
- Hayo ya...
Habari wapendwa.
Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
Beki wa Tanzania anayecheza nchini uturuki akiwa na timu ya Goztepe SK, Novatus Dismas Miroshi amefaulu kujinasua kutoka kifungo cha kukalia benchi na kuanza kuaminiwa kuanza.
Leo amefunga goli la pili katika mchezo ambao wamepoteza 3-2 na Fenerbahce inayonolewa na Jose Morinho.
Hii kwake ni...
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app...
Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500
Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini.
Ila cha kushangaza ubora wa mitihani na upimaji ni hovyoo kabisa kwani sidhani kama watahitaji walimu...
Ni kweli kabisa kwa sasa tunahitaji KATIBA MPYA mambo mengi sana ndani ya KATIBA ya MWAKA 1977, yameshapitwa na wakati na yanahitaji kufanyiwa marekebishi.hasa kuhusu huu mgawanyo wa serikali na madaraka kwenye muungano , kwann Zanzibar Ina serikali yake lakini tanganyika Haina? Tuna serikali ya...
Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie.
Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5,
Swali lake je? hii hali ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.