Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk.
Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu .
Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura
Haijalishi mnapambana na yapi lakini...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo
Ad Hominem - Kushambulia mtu anayetoa hoja badala ya kushughulikia na kuijibu hoja yenyewe.
Strawman...
Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu.
Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu.
Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically.
Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo...
Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM?
Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi.
2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili.
3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi.
4. Vitisho vinaendelea...
Nyota wa Ureno na Klabu ya Al Nassr, Cristiano Ronaldo ametamka hadharani kwamba, Vinicius Jr alistahili kushinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu. Ronaldo amezungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa tuzo za Globe Soccer.
"Kwa maoni yangu [Vinicius Jr alistahili kushinda, ilikuwa sio haki...
Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi
Nimeandika Leo na nitafufua huu Uzi wangu mimi mwenyewe hatimaye watanzania wataenda kufurahi...
Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano!
Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
Hizi timu za majeshi wakicheza na yanga wanakwenda kukamilisha matokeo tu uwanjani maana magoli waliofungwa mashujaa wenye akili wanajua magoli ya mchongo!
Magoli rahisi sana!
Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.