kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  2. MK254

    Wabunifu kutoka Kenya na Uganda waiwakilisha EAC kwa kushinda tuzo kule Glasgow, Scotland.

    Kama kawa akili kubwa.... Four East African climate innovators from Kenya, Uganda and the Democratic Republic of Congo have won the prestigious 2021 Ashden Awards at the UN climate summit COP26 in Glasgow, Scotland. The Ashden Awards, organised by a London-based charity that works in...
  3. TheDreamer Thebeliever

    Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.Na hii ndio list ya waafrika waliowahi shinda Nobel Prize

    Habari wadau..! Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.
  4. Fundi Madirisha

    Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

    Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi. Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya...
  5. C

    Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  6. Ramon Abbas

    Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    Nakwambia ukweli, Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana. Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama...
  7. nyboma

    Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  8. Tony254

    KRA imekusanya ushuru wa makampuni kwa kiasi kikubwa kushinda target yake

    Makampuni za Kenya zinalipa ushuru kwa fujo sana hadi KRA wanakusanya ushuru mwingi kutoka kwa makampuni kupita makadirio ya awali. Hii ina maana kwamba Kenya ina makampuni mengi na pia yanatengeneza profit kibao na ndio maana zinalipa ushuru kwa fujo. KRA imekusanya ksh 330 billion kutoka kwa...
  9. Poppy Hatonn

    Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

    Hii kesi ni kesi ambayo wanataka kujadili mambo madogo tu ambayo hayana umuhimu wowote kwa taifa. Ikumbukwe alikuwepo Magufuli ambaye alikuwa mpole sana kwa raia wanyonge lakini mkali sana kwa mafisadi, mkali sana kwa wapinzani. Tumeona mambo ya ovyo yaliyokuwa yanawafika wapinzani...
  10. M

    Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

    Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni. Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia...
  11. Mr Dudumizi

    Lissu kama una lengo la kweli la kushinda Urais 2025, basi njia hii hapa...

    Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote...
  12. Tony254

    Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  13. Boeing787-8

    Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

    Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea. Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais. Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so...
  14. KENZY

    Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  15. Mwanga Lutila

    Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  16. Tony254

    Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

    Huyu mzungu ameishi Dar es salaam kwa muda sasa. Amefika Nairobi na kusema kwamba Nairobi ipo more developed than Dar es salaam
  17. MK254

    Dah! Equity tawi la DRC linanawiri na lipo mbioni kushinda Nairobi

    Afrika pazuri... Equity Group closed last year as Kenya’s most profitable lender and has maintained this run in the first quarter of this year with a 64 percent growth in net profit to Sh8.7 billion. The Business Daily spoke to its CEO James Mwangi about the place of subsidiaries in growth...
  18. Numero Uno

    Naipa nafasi England kushinda Euro2020 dhidi ya Italia

    Kati ya Italia na Uingereza nikiambiwa nichague nani atatwaa ndoo ya euro moja kwa moja ni uingereza nampa nafasi.
  19. M

    Heko CHADEMA kushinda kishawishi kilichomshinda Yuda Iskariote

    Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
  20. Black Book

    Unamfahamu yeyote aliyewahi kushinda michezo ya bahati nasibu?

    Wakuu... Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja. Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu...
Back
Top Bottom