Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati,
Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani.
Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika.
Kama...
Picha: Kikosi cha Wachezaji wa Matiyasi FC
Klabu moja yenye maskani yake Limpopo katika kitengo cha chini cha mfumo wa soka nchini Afrika Kusini imefungiwa maisha baada ya kufunga mabao 59 katika mechi moja.
Timu ya Matiyasi FC iliyokuwa ikiwania kupanda Ligi ya Mkoa wa ABC Motsepe, iliichapa...
2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii.
Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi.
Haki✅
Usawa✅
Mishahara✅
Posho✅
Anayebisha aje na facts.
Angalau hawa Waganda hawana unafiki wanakubali wazi kwamba Kenya ipo mbele yao. Huyu jamaa anasema kwamba hata towns ndogo ndogo kama Kitale bado zimeendelea sana. Alikuja Kenya kwa sababu ya harusi pale ambapo Mganda alimuoa Mkenya.
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa:
2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora.
Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT.
Zitto Kabwe hivi karibuni alitamka kwenye vyombo vya habari kwamba ACT inahitaji Tume Huru na siyo Katiba mpya. Hapa...
Umofya wana JF,
Mtoto kushinda kwenye TV asubuhi mchana hata jioni yupo kwenye TV ni sawa sawa? Wengine wanasema inasaidia kumpa mtoto exposure wengine wanadai watoto wanajifunza lugha na michezo mbali mbali inayoongeza ujuzi wao, wegine wanapinga sio kitu kizuri.
Je, kipi ni kipi? Tusaidiane...
Hello JF,
Nimekaa nikaona nije na hiki kitu kwa manufaa ya upinzani tanzania, please unakaribishwa ku like ama ku-comment
Chadema must work on following if it is to win the next election.
1. Kuwe na clear vision ya chama, kwamba nini wanataka ku achieve na kwa baada ya muda gani. Naamini...
Kukata mauno na kuimba mahakamani nyimbo na ngonjera sio tija ya kisiasa kuweza kusababisha Mbowe akapata ushindi.
Majaji na mahakimu wa Kitanzania wanawigo mpana sana kuweza kupindua matokeo ya kesi kwa utashi wao. Tujikite kutatua tatizo la Mbowe kisheria sio kwa nyimbo na ngojera.
Haya ni mawazo yangu.
Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
Nimefuatilia sehemu Mbalimbali yanapopatikana madini ya historia ya Mhe. RAIS, sijapata sehemu amewahi kugombea akapigiwa kura na kushinda. Naomba anayejua kama amewahi kushinda Uchaguzi atushirikishe.
Kama ajawahi kushinda, Je wapo Marais wengine walioingia madarakani kidemokrasia ambao hakuna...
Shalom from Jerusalem,
Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe...
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi...
Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti...
Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe.
Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha.
Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.