Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Hii article nimeitoa online BBC; ni majibu ya mwandishi mmoja ikijaribu kujibu kwanini Afrika haijawahi kuchukua hili Kombe...
In November, Cameroon football federation president Samuel Eto'o Fils declared that he was expecting Cameroon to beat Morocco in an all-African final.
He was...
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote.
Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
Habari wakuu.
Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu.
Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA.
Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu.
1. Peter Banda.
2. Mohamed Ottara
3. Dejan aliyeondoka.
4. Okwa Nelson...
Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu.
Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui.
Umaskini ni laana, laana hii...
Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya .
Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
Jana wote tumeshuhudia Yanga wakishinda bao 4-0 ugenini licha ya kufanyiwa vitimbi kibaooo. Leo mabingwa hao watarejea nyumbani saa 3 usiku.
Nyote mnaombwa kwenda kuwapokea airport. Hizo ndo dozi za kutoa ugenini siyo eti kushinda 2-0
Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje
Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao...
Kwanza nitoe Pongezi nyingi kwa Uongozi wa Simba SC kwa kuamua kutafuta Mechi Tatu Kubwa za Kirafiki za Kimataifa hasa katika Kipindi hiki cha Mapumziko cha Wiki Mbili.
Tarehe 28 August 2022 Simba SC itacheza na Wanaojua Mpira Asante Kotoko huko nchini Sudan.
Tarehe 31 August 2022 Simba SC...
Aibu yake kubwa ni mbele ya Uhuru Kenyatta. Uhuru Kenyatta amembeba sana, serikali ya Kenyatta imembeba sana!! Ruto akapakwa matope hadharani na mkuu wa nchi kuwa hawezi na hana jipya maana alipewa nafasi ya kuwa makamu wa rais lakini hakufanya chochote!!. Ukizingatia kuwa Kenyatta yuko nyuma ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais.
Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo.
Mbali na kuandaliwa msosi...
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
Bonus
Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho
Simba 3-0 Merrick
Merick 0- 0 Simba
Dokezo
Hiyo Somalia ni under 20
My Take
Kukosoa huwezi labda uropoke
Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine anazidiwa anamtumia silaha , akiona anakaribia kupata ahueni anazima data rais wa Ukraine anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.