Ni nadra sana mwanamume kushindwa kusimamisha uume, tatizo kubwa ni muda wa muendelezo wa kusimamisha uume. Hali hii huweza kusababishwa na matatizo ya kisaikolojia (kujihisi mwenye hatia, hofu, huzuni, na wasiwasi, au majukumu yanayo mkabili).
Mara nyingi, hali ya uume kupoteza uthabiti wake...