Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

mungu kwako wewe..kwa wengine ni mtu km watu wengine ila ana nafasi ya mamlaka kuongoza.
Hakuna sehemu nilipo sema ni mungu bali nimesema ni kama mungu kwa sababu wao wanajiona kuwa hawawezi kukosea na ndio maana hawataki kukosolewa.
Hata ww hilo unalijua na ndio maana unatumia utambulisho feki ili usitambulike .
 
If contestant would be Lissu against SSH, I would hesitate and rethink of casting my vote or not but being Gwajima i support him 100%....Chess well played, the queen has fell.
Vingereza kama hivi uwa naviscreenshoot nikiwa na mikutano na wanakijiji naviunganisha kwenye hotuba yangu ,utasikia mtaani yule kitumbo tumbo eti alisoma Ulaya lakini eti kwao wana hela .

Mimi nabaki kuwasikilizia na kucheka tu ,wakishua anakunywa ulanzi ?
 
Back
Top Bottom