Mamlaka ngp unazozijua..Naye huambatana na bodyguards kila mahali?
Awe makini sana zama hizi ni either atashambuliwa kama Kitima ama kutekwa kama Mdude!
Ngumu kushindana na mwenye mamlaka yote yale na ukatoboa!
Mamlaka ngp unazozijua..Naye huambatana na bodyguards kila mahali?
Awe makini sana zama hizi ni either atashambuliwa kama Kitima ama kutekwa kama Mdude!
Ngumu kushindana na mwenye mamlaka yote yale na ukatoboa!
Ni ujinga kujaribu kuongelea mambo usiyoyafahamu..Gwajima anaewaaminisha watu kuwa anafufua watu lakini mama yake mzazi hakuthubutu kuwaambia watu kuwa atamfufua alipofariki.
So its about Weight, body weight?Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Aisee!Huyo mtu hata ukimshindanisha kuku amini kwamba kuku atashinda.
ckweli ,subiria tarehe 02Interesting. Kama vile Tundu Lissu anaanza kuwekwa pembeni.
Sawa. Ila naona anazungumzwa kumshinda Samia kwenye uchaguzi. Atagombea?ckweli ,subiria tarehe 02
Ni sahihi ila hatukuiti zuchu!!!Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Ulitaka azungumzwe nani wakati washasema hawagombei....pia achana na wajinga ccm ,fatilia mikutano ya no reforms no electionSawa. Ila naona anazungumzwa kumshinda Samia kwenye uchaguzi. Atagombea?
Nakaziaaaa!