Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Asije akarushwa mapepo kwa Ofisi, cheza na Gwajima!
Akiishika picha ya Maza siku Saba kavu..... Whitehauzi akili zitakaa sawa!

Kuna mtu alifutika kwenye ramani za siasa mpaka leo hajawahi kutaja jina la Gwajima!
 
Hata hao ccm Baki ni useless....nchi ikishajikita katika mfumo na kuanza hivi ni hatari. CCM hawawezi kushituka sababu washashikwa akili na wezi wachache. Ogopa system, yaani kutoka juu mfumo na kuja chini miifumo midogomodogo kiasi usalama wa nchi Iko hatarini.
 
Gwajima unamchukulia mwepesi sana sio?🤣🤣🤣🤣🤣 haya mdomo koma ila nikuulize hayo unayoyahofia unafikiri hakuyajua? Relax
Gwajima ana nguvu gani kumzidi kitima ambaye alishambuliwa na mpaka sasa walio mshambulia wako mitaani wanadunda?
Au Gwajima ana nguvu gani kumzidi Ndugai ambaye sasa hivi amekuwa kama panya aliye mwagiwa maji?
Au Gwajima ana nguvu gani kumzidi Bashiru ambaye mpaka sasa hathubutu kunyanyua mdomo.
Gwajima alicho kisema ni haki kabisa lakini simshauri amjibu kivyovyote huyu mama.
Tz hii ukisha kuwa rais uko juu ya kila kitu.
 
Kwa kauli ya Samia namshauri Gwajima akae kimia asithubutu kujibu maana yatamkuta mkubwa.
Katika nchi zetu zilizoko matakoni mwa dunia rais ni kama mungu.
Ushauri wako ni mbaya
 
“Gwajima si mtu wa midomo, ni mtu wa matendo. Historia haijengwi kwa maneno makali bali kwa uthubutu na uthibitisho. Mazaa akisimama mbele ya Gwajima ni kama kivuli kinataka kushindana na mwanga – siyo vita ya aina moja. Na kuhusu Zuchu, jiandae tu kuitwa… kwa sababu ushindi tayari umeshaandikwa
 
Back
Top Bottom